@madam_leila: "Once a cheater, always a cheater?" Au "Once an abuser, always an abuser?" 🤔 Kisaikolojia inasemekana mwanaume yeyote anayefanya uhalifu kwa mwanamke wake—iwe usaliti, kipigo, au unyanyasaji wa kijinsia—ni lazima atakuja kuurudia tena. Hakuna cha bahati mbaya kwenye ukatili. Je, unakubaliana na hili? Au unaamini watu wanabadilika kweli? Tupige soga hapa chini. 👇🏾🗨️ #Mjadala Video Kamili inapatikana kwenye Youtube Channel yetu (Madam Leila Abubakar) link kwenye bio 👆🏾 #kayawellness #klinikiyaakili #madamleilaabubakar #maishayandoa #MenPsychology #mapenzi #psychologyquotes #psychology #tanzania