@simukitaa: Ukweli kuhusu Matumizi ya AirPods… Kama ulikuwa unajua AirPods ni kwaajili ya kusikiliza music basi unakosea. Sikiliza video hii mpaka mwisho kujua namna unaweza kutumia AirPods zako kwenye mambo tofauti tofauti. kisha tuambie kwenye Comment ulikuwa unalifahamu hili?? #Simkitaa #Sanukakitaani #Apple #Tech #ijuesimuyako

Simukitaa
Simukitaa
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 01 April 2026 18:15:10 GMT
46724
2736
33
279

Music

Download

Comments

abuubakar.aliy1
The big brother :
kama una sim ya android jee?
2026-05-30 20:47:22
3
immerhunter
Emmanuel Mussa :
mwanangu unajua
2026-05-30 20:29:47
1
tm.g.store
MAPESA COSMETICS :
Sem una enda kasi san mkuu, jifunze kuelekeza slow
2026-04-23 08:32:06
2
kelvinhenrys
Kelvin's henry's :
only ios device
2026-05-29 13:43:54
0
steveebabuog
𝐒𝐓𝐄𝐕𝐄🎙️𝐆𝐈𝐓𝐫𝐔🧌✝️ :
𝐇𝐢𝐢 𝐧𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐩𝐨𝐝𝐬 𝐨𝐠 𝐭𝐨
2026-05-29 08:26:45
1
madoller15
madoller :
umesahau kuwaambia hiyo ni kwa Pods og tuu maana hzi za elfu6 au elf10 huwez kuziona kwa find my, utapata feature chache tuu
2026-05-13 14:15:55
2
wizzyluny
(^_^)₩izzylunya(^o^) :
kwa Samsung je
2026-05-30 08:43:48
0
venocyber
venocyber :
si unaona wote wanatumia ios
2026-06-03 19:17:35
0
user94genious
GENIOUS BOY 🌹 :
je mwanakitaaa kwenye simu ya android ipo au tu kwa iphone.
2026-04-02 00:01:16
1
user1579028470613
Kyg_#fashion :
Air pod izo bei gani bos
2026-06-03 14:53:10
0
jaybrave36
jaybrave 71 :
VIP KWA SAMSUNG
2026-05-23 08:11:01
0
mctoshy003
mctoshy🫣 :
lakini si kwa iphone tu boss?
2026-04-01 18:42:11
1
isman5_tz
MR ISMAN5 :
ma kwa sony inawezekan
2026-04-28 10:21:15
0
seer_car.accessories
seer_car.accessories :
1st comment
2026-04-01 18:24:48
1
ramecki4
Ramecki :
twende
2026-04-02 09:38:25
0
mr.drama.boy5
Simba build&electrics👨🏾‍🔧 :
Ni pod zozote
2026-04-07 21:23:47
0
denriq17
DenriQ :
kwa Samsung je??
2026-05-19 10:24:19
0
braxtech15
Brax :
nimekua wa kwanza ku comment mwanakitaa
2026-04-01 18:38:24
1
mr.nobody1034
MR.NOBODY :
kwa android
2026-04-02 12:46:06
0
newtonypro
Mr Newton🤪 :
vp kwa google pixel 7pro
2026-04-03 14:44:31
0
sashi_319
sashi💭 :
ila boss mwenyewe umekosea jinsi ya kuvaa pods😁😁😁
2026-04-02 22:04:01
0
user1856185833558
user1856185833558 :
nimeipenda hiya asate kwakunisanuwa
2026-06-05 06:38:22
0
nikonime4
JR TZ ♪v(*'-^*)^☆ :
mimi zangu zina jipokea zenye ila nikiwa na kimbia azi pokei simu
2026-05-30 20:12:32
0
iam_gee0304
Gee98 :
✈️
2026-04-01 18:24:01
1
shedidotz
Shedido :
@ms_fah🖇🦋💕
2026-05-27 10:20:07
0
To see more videos from user @simukitaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About