Malipo duniani na yeye ataachwa tu
kikubwa nikumlilia Mungu achelewi kujibu🙏🙏
2026-04-02 14:44:50
299
rebecca nelly 78 :
kipindi icho ndo ninacho pitia sasa jamani naumia sana
2026-04-02 12:55:59
162
sane boy :
Duh popote pale ulipo Glory naomba unisamehe pole sana🥹🥹
2026-05-08 06:16:07
7
Nice Omar :
ilinikuta Mm nilikuwa na wakati mngumi sana kiukweli ila bado sijapona vizuri
2026-04-02 08:10:37
85
witco ❤️❤️ :
inauma 🥺🥺🥺, ila me ajaniambya kuwa ameniacha au nn ila nampenda na saiv nipo na mwanajeshi nampenda sana 🥰🥰🥰
2026-04-02 07:50:01
25
allywaziry105 :
Mimi kweli wakushindwa hata kulala mwezi mzima 😂😂nitaheshimu Sana mtu anayenipenda ,huu mwaka ni mgumu Sana kwangu💔
2026-04-05 09:30:41
28
Rouhy ❤️Tanga🇹🇿🦋❤️ :
Kaniacha anambia nimekuacha kwa ajili ya kumlinda mtu mwengine Aloooo 💔 💔 but Alhamdulillah Alaa kull hal 🙏
2026-04-02 12:21:36
39
Faboluos Alsina Tray :
mwanamke atakae nishawish kurud kupenda tena kiukwel ntaampa zawad kubwa sana 🙏
2026-04-03 08:55:01
5
AISHA ALLY :
nimeuapitia ayo lakin malipo ni apa apa duniani
2026-04-03 07:25:44
7
Ruqaiya🌹 :
Mimi ndo niliachwa hivyo unasema nakupenda anasema sikupendi anakuonesha kama ana mtu hayo maumivu yaacheni tuu🥺
2026-04-03 05:34:38
11
Agnes Agnes sanga :
mm nimeachwa juzi to apa nikikumbuka moment naumia atari
2026-04-02 18:55:43
6
Faisal🐊 :
Msidharau comments watu wanamaanisha💔 wanapitia maumivu 🥺
2026-05-15 19:44:20
6
I EM ZYRA~LUXE✨🦋🩵(RAVEN🐦⬛) :
Ngoja ninyamaze maan naweza nikalia kwenye comment
2026-04-02 20:02:25
6
Eligidius Jovini :
Inauma sana sana bac kwa mtu asiyeyajua
2026-04-02 18:37:02
7
Daffa :
daah ila kiukwel mapenz yanaumiza sana🥺🥺
2026-04-09 19:09:06
5
KUAMI EUGENE 🇬🇭 :
Yasikie tuuuh
2026-04-02 11:41:22
6
Amayasmom🦋 :
Yan huwez kuelewa mpak hii hali ikukute ni kumuachia mung tu nd atakaetulipia ila inauma sana😭🙌🏽
2026-04-03 09:50:02
7
Mrs B :
Sio poa hii kitu🥺💔🙌
2026-04-04 09:05:18
6
Da Moo 🥰 :
kabisa hich kipnd ndio ninach sas hiz
2026-04-02 10:36:15
15
Nasrah✨🦋❤ :
me nisha pona ila kupenda ndo akuna tena nashukru Allah kaniondlea maumiv na upendo nlio wapend wakanitenda
2026-04-02 11:57:23
6
willium :
inabidi ujue tu kwamba dunia haiko fair utaishi kwa raha
2026-04-02 11:55:48
9
Kabinti special 🦋💕☘️001 :
Sito sahau 2022 nili achwa bila sababu😭 alafu anakuja kurud 2025 et ni msamehe tuanze upya simple tu 🥺🤌🏻
2026-04-03 13:28:35
18
Laventa John :
mmhh kweli ni mm tu na mungu ndy anajua haya maumivu nilitamani aridhi inimeze alichotwa mawazo
2026-04-03 03:30:01
5
samira :
1dec 2024 Mungu am grateful for that ila kama nilifanya jambo nikastahili yale niliyopitia basi nimepokea kwa mikono miwili Alhamdulillah, ila if alifanya for ubinafsi na sikumkosea basi Allah ww ndo mjuzi na muweza wa kila kitu
2026-04-03 19:54:30
5
Mr:dube :
Hii ndio hali ninayopitia hadi ndugu na mama yangu wananisaidia huzuni na kunisaidia kulia
2026-04-02 09:48:21
6
To see more videos from user @salki17pro, please go to the Tikwm
homepage.