@jikonikwetu_: ugali laini mtamu bila kutoka jasho,kuumwa mkono wala kuota sugu za mkono ...pika na mashine hii @BrinaxTanzania haya wale msojua kupika ugali mkombozi huyu hapa !!! Huu ugali lain na mtamu sana upate na dagaa ,nyama choma na ninj tena 😋👌? #creatorsinsight#viraltiktok#ugali#kenya#tanzania
mhuuuuuuu hapana ugari maji baridi hauivi huo ndio ukweli
2026-04-02 06:50:49
3
mlolwa daughter :
mnyamwez mm hapanaaa😅😅😅
2026-04-02 13:31:07
2
victoriafrancis835 :
Mimi napenda ugari nasongaga ugari mwingi Tena kwa mkono mmoja Paka walikuwa wananishangaa Hila hiyo meka nzuri watu wanazo za wali Paka za ugali watanunuwa
2026-06-27 12:21:29
0
victoriafrancis835 :
nitainunuwa
2026-06-27 12:21:36
0
Davi Dagaa |Dagaa Watamu Goba :
❤️❤️
2026-04-02 05:58:16
1
To see more videos from user @jikonikwetu_, please go to the Tikwm
homepage.