daah Yan apo ukiwashusha wakakwambh ahsante safari njema daaaah🥹🥹🥹💝💝💝💝
2026-05-31 12:18:34
11
UVCHADEMA GANG :
michezo familia asante baba
2026-06-09 15:11:28
7
it's rola💥👊🏽 :
tulio ona kiatu tia kopa apa
2026-06-11 10:39:57
7
Salimu Ndee :
umetixha broo
2026-06-12 13:11:03
1
modise :
katisha sana nampa asilimia 100
2026-06-09 17:31:47
0
Ruth Samson :
daaah bro dereva popote ulipo mungu akupe maisha marefu🥰
2026-05-27 07:19:35
9
Simba🦁🦁🦁 :
dah.....endelea na moyo huohuo bro..❤️❤️❤️❤️
2026-06-08 17:51:44
4
Mohamedi Bakari :
Saf sana kak
2026-06-06 15:16:34
2
jepha joram :
tuna penda sana kufanya ivi ila Kuna kampuni zetu izi apo kazi una ila awajui tunako Toka salute jeshi 🙏
2026-05-27 06:36:35
5
ABDULL RAZACK :
mwezimungu akuongoze utokapo na uendapo
2026-06-12 15:35:35
1
Senior Isack :
Likes zote ziende kwa dereva wa lori🔥🔥🔥
2026-05-30 17:35:17
4
Anwar_ :
Zaburi 27:7
"Ee Bwana, sikia sauti yangu niitapo; unihurumie na kunijibu."
Aya hii ni sala ya Daudi akimwomba Mungu asikilize kilio chake na amrehemu. Inatukumbusha umuhimu wa kumwita Mungu kwa imani na kutegemea majibu yake.
2026-06-12 22:29:31
2
eric :
umetisha kaka hadi nimehisi kulia kaka mungu awe nawe
2026-06-11 12:09:10
3
swabrah :
mwenyezi mungu akulinde kila unapopita kila siku na uzidi kubarikiwa wew dereva
2026-06-11 08:15:27
4
asia@ :
ukionekana mkatili sana kama ungepita suka
2026-06-18 14:19:46
1
antipasi1958 :
hakika derefa katisha san
2026-06-08 08:46:47
1
To see more videos from user @timothymalyii, please go to the Tikwm
homepage.