@maombitibabypasto: Maombi ya mzazi kuombea watoto wako #fyp . Watoto wetu ni zawadi kutoka kwa Mungu, na silaha kubwa tunayoweza kuwapa si fedha pekee, bali ni Maombi. Katika ulimwengu huu wenye changamoto nyingi, their future depends on the prayers we make today. Tunawaombea watoto wetu wawe na hekima, ulinzi, na kibali machoni pa Mungu na wanadamu. We must cover them with the blood of Jesus! God’s protection is non-negotiable. ​Isaya 54:13 "Na watoto wako wote watafundishwa na Bwana; na amani ya watoto wako itakuwa nyingi.

Maombi-Tiba-byPastor-Ndelwa
Maombi-Tiba-byPastor-Ndelwa
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 02 April 2026 11:38:56 GMT
46529
3292
753
1133

Music

Download

Comments

rehemanjau363
Rehema [email protected] :
amen amen,nawaombea watoto wangu wakafunikwe kwa damu ya yesu
2026-04-14 18:06:19
1
user4709074144463
Mereivelle :
Amen pasta
2026-04-22 07:08:23
1
kiongo55
kiongo👍👍 :
Asante Mungu naomba wabariki watoto wangu wakina Joel na job wakina Abby na Abby...pamoja na Daniel...Ee mwenyezi Mungu naomba nilindiee Family Yangu yote
2026-08-11 00:05:51
0
yeah.she.marchy
Aggy_.Amims :
amen amen
2026-04-24 15:55:02
1
eupheniasamki
Euphenia meela :
Mungu nitunzie watoto wangu ambao ni baraka kwangu
2026-04-21 21:08:49
1
enfant.de.la.prom7
enfant de la promesse :
Amen na iwe hivyo kwa Jina la Jesus Christ amen
2026-04-03 09:32:15
3
user3227194832599
user3227194832599esperance zaw :
amen Mungu bariki watoto yangu
2026-04-25 04:53:47
1
funga_66
haule66 :
Amina
2026-04-04 20:21:22
1
user15111127204
user15111127204 :
Ameen Mungu asimamie familia yangu
2026-04-05 04:36:13
1
sofiakumbemba
Sofia Kumbemba :
Mungu naomba uwalinde watoto wangu na maadui wanaowafutilia kwenye afya ya mwili na moyo .
2026-06-17 01:20:16
1
kezia.denis
Kezia Denis :
amina baba nimepokea kwa ajili ya watoto wangu
2026-04-21 16:27:01
1
esther.bonphace
Esther Bonphace :
Amina watoto wangu wape neema na Hekima watangulie kwenye masomo Yao na Ndoto zao Ewe mungu uwlinde na Mabaya yoote AMINA
2026-06-11 02:51:07
1
pendowamussa3
Woman of God :
Amina napokea kwa ajili ya watoto wangu 🙏🙏
2026-04-08 04:48:27
1
user95662984451794
Françoise :
Amen Amen Amen 🙌
2026-04-29 14:00:08
1
user7328453102097
Pisces🦋♓ :
Ameeeni Maombi haya Yakawe Tiba Kwenye Maisha Yangu Pamoja na Uzao Wa Tumbo Langu Milango Ya Biashara Yakafunguke🙏
2026-06-04 08:41:27
1
jane.ee252
Jane ee :
naomba Mungu watoto wangu wafunguliwe, wabarikiwe, wafanikiwe kama Isaka alivyowaombea watoto wake, nakushukuru sana maana ni nizawadi umenipatia asante
2026-06-28 12:21:09
0
user2602214598011
kanike florace :
amen
2026-04-09 18:48:56
1
user330860004592
user3308600045920711239568 :
amen amen amen amen amen
2026-04-22 10:59:13
1
user5611199528146
user5611199528146 :
Amen nawainua watoto wangu mbele zako yesu ni natamka damu yayesu iwafunike watoto wangu katika Jina layesu amen ninawabariki amen
2026-04-03 11:26:06
10
winfrida.lyagoda
Winfrida Lyagoda :
amen
2026-09-03 03:15:44
0
ester.bryson
Ester Bryson :
Amen Mungu nilindie mtoto wangu🙏
2026-09-02 20:36:20
0
dalluenevinah
Enevina :
Amina
2026-06-25 09:28:37
1
winfrida.lyagoda
Winfrida Lyagoda :
amen
2026-09-02 04:17:29
0
joyce.sasile
🦋Joyce :
Amen nimepokea 🙏
2026-09-02 05:18:40
0
To see more videos from user @maombitibabypasto, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About