Imani ni kitu kingine kabisa hasa ukimuamini MUNGU kila kitu kinatimia
2026-04-02 13:08:23
48
fay :
Asante nime pata kitu hapo
2026-05-03 16:17:27
0
CJ MAX :
guys ni KWELI Kabisa nime kua niki manifest pesa aiseee ni noma napokea pesa kila mda☺️☺️☺️
2026-04-03 14:46:31
6
mamawanasra :
zaburi ya 23🥰
2026-04-27 10:39:57
2
🌸Amayra🌸 :
nashukul san dad ver nakumbuka nilijaribu kufanya hivyo katika ile video yako ya chumv ya mawe nkasom na mistake ya bibria ulio andika kesho yake nka pata kaziii nakushukur san kwa elimi ya kiroh🙏🫂
2026-05-02 19:12:44
0
Yuditha Gerlad :
napokea nami muujiza wangu mwaka huu
2026-04-06 07:41:00
1
Jackiekamu :
barikiwa sana mamaah
2026-04-03 20:00:48
1
Mary Maunda :
Naomba unipe pochi hata moja basi dada angu
2026-04-02 19:50:31
1
Farida Masoud :
napokea hitaji la moyo wangu kupitia ushuhuda huu
2026-04-02 22:18:36
2
Clesencia Antony :
amen amen
2026-04-06 10:37:03
1
beauty ambassador :
mi namiliik 50m
2026-04-18 08:25:58
0
Diana 01 collection :
Amen 🙏
2026-04-02 19:16:37
1
mankamassawe :
Napokea kupitia ushuhuda huu
2026-04-02 18:10:07
1
muny :
Asante Mungu
2026-04-02 19:15:48
0
Annycute :
Amen
2026-04-03 04:19:51
0
happy :
nikweli mimi nilifanyaga ile uliosema uandike ela unayo itaka na uweunaitamka kwanguvu niliandika milioni 5 nanikaipata ubarikiwe sana
2026-05-15 16:55:29
0
Pendo Njile :
hebu tundish manfesion hiyo sasa
2026-04-03 05:32:43
1
saramura :
🥰🥰
2026-04-27 10:57:25
0
Tricious 123❤️❤️ :
😁😁😁
2026-04-25 11:19:56
0
user600804 :
🥰🙏🏻
2026-04-02 19:26:17
0
Milcah :
😁😁😁
2026-05-24 20:09:41
0
Pauline__2021 :
hongera na mimi napokea hitaji ka moyo wangu kupitia huu ushuhuda
2026-04-02 14:05:08
7
elitrudachami :
Napokea na Mimi muujiza wangu mwezi wa 4🙏
2026-04-02 18:16:18
6
saruu :
Asante umenifungua ufahamu kwa sehemu
2026-04-02 16:31:21
2
syliva_kil :
mathayo 7:21
2026-04-08 12:05:48
2
Solo🫦 :
Mbon hujawaambia na Zaburi 55?!
2026-04-02 18:39:02
2
gracejohn139 :
jamani mi naomba Ile post ya kuandika namba mkononi
2026-04-02 18:31:12
1
manka :
❤️❤️❤️❤️
2026-04-02 21:33:25
0
ikupa ngoloka :
Ameen
2026-04-04 11:48:41
0
Winnie :
naomba Moja ndugu yangu nipo dodoma
2026-04-03 10:21:26
0
Restituta fulgence :
AMEN
2026-04-03 07:43:40
0
hidaxy25 :
Amina sana dear
2026-04-03 06:24:00
0
Bitte🍏 :
❤️❤️❤️
2026-04-02 19:42:52
0
To see more videos from user @blessedwithwealthfavor, please go to the Tikwm
homepage.