@ali_wisdom: Ewe Mola wetu, zitulize nyoyo zetu, uondoe wasiwasi ndani yetu, na utujaze nuru ya imani. Usituache katika hali ya huzuni, wala usitupe mbali na rehema zako. Tuweke karibu nawe, utupe subira katika mitihani, na utufungulie milango ya kheri tusiyotarajia. Hakika wewe ndiye Mwingi wa rehema, Mwingi wa kusamehe… Aamiin. jum'a Mubarak #videoviral #creatorsearchinsight #jumamubarak