ya rabby niondoshee maradhi katika mwili wangu unilindie kizazi changu na wazazi wangu ishaallah ya rabby utupe mwisho mwema ishaallah
2026-04-03 06:54:59
39
zainabu Yussfu :
Amina ya rabbi
2026-05-11 07:51:36
1
Faiza Zaharan :
ya,Allah utusamehe makosa yetu na wazazi wetu tujaalie kher ya dunia na akhera yarrab tujaalie afya njema na uzima kla mwenye mazito yarrab umuondoshee yarrab 🤲kwa kisomo hichi moyo wngu umepata furah Alhamdulilah 🤲❤️
2026-04-03 21:40:26
9
Bakari Fakih :
napenda sana duwa hizi nakupata wapi shekh
2026-04-25 09:05:48
1
Nasra Hamisi :
Ameena inshallah kupitia Dua hii yaaraby muondoshee mtoto wangu fatma mitihani mfanyie wepesi mambo yake yote mjaalie ujaisili yaaraby umfanyie wepesivl arudi salama
2026-04-03 16:24:35
11
Badrya :
Amin amin yaarabill tufanye wepes na utupe mwisho ulokuwa mwema
2026-04-04 05:20:59
7
Rashda :
yalabi nijalie nione siku zangu kama kawaida aminaaa
2026-05-15 07:33:54
1
salmashaaban juma :
yaraby tujaaliye riksi ya halali mm na familiya yangu
2026-04-03 13:03:22
6
user6944426011815 :
Allah Allah Allah Allah Allah Allah Aamin Aamin Aamin Aamin Aamin yaaraby yaaraby Aamin Aamin
2026-04-03 11:02:32
6
msambaa_classic_saloon :
mashallwa
2026-04-20 18:33:57
1
ASHA SIMBA :
Amin
2026-04-15 10:37:01
1
$@brin@ R@m@dh@ni :
Amiin 🤲🤲
2026-04-04 05:12:16
3
ummu muadh :
yarabby tulindie na uwaongoze watoto wetu
2026-04-04 05:14:19
5
Ramadhan Mamu :
Amiiin yaar Amin
2026-04-06 14:22:42
2
Nasra cyut :
Aminn rabbila alamin 🤲🤲🤲🤲
2026-04-04 05:00:12
2
Magustu Babu :
Amin 🤲😭
2026-04-04 11:44:12
2
Husna Husna :
samahani jina la kitabu plees
2026-04-03 07:21:24
2
unique idah❤️ :
Allahumaameen yarabby🥰
2026-04-10 12:19:14
2
H M :
mungu ijalie ndowa yangu inayofika keshokutwa alhamisi iwe yaheri
2026-04-04 17:51:46
4
To see more videos from user @biimariyambintiismail, please go to the Tikwm
homepage.