@pastortonyosborn:

Pastor Tony Osborn
Pastor Tony Osborn
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 03 April 2026 07:53:06 GMT
238072
22398
467
934

Music

Download

Comments

kingshaft470
Papaah :
sound of authority
2026-04-03 13:51:30
162
user2519483811258
Nono-king mapesa🔑 :
nisingejua2 mapenzi ningekua salama mbele za mungu
2026-04-05 21:18:51
15
princessmsuya2
Princess Msuya :
Baada ya neno hili naogopa sana kuharibu amani ya moyo wangu by any means; yani hakuna kitu nathamini kama amani ya moyo wangu hakuna kinachoweza kunikosesha amani yangu huhuhuuuu 🥳what a powerful word 🙏 Baba huu mwaka sisi tumetoboa🥳
2026-04-03 19:26:35
45
manka294
Manka :
Kulike zaid ya mara moja ni vip🥺🥰🥰
2026-04-04 02:23:45
79
castobenjamin
Castomega :
Watumishi wa Mungu ninaowataka💪🙏🙏
2026-04-03 16:42:26
26
bensonp7
BensonP7 :
...Wamjuao BWANA watakuwa hodari na kutenda mambo makuu. Dan 11: 32
2026-04-03 10:56:05
50
maketefinest
Makete-finest :
ILI UWE NA AMANI KUNA VITU HUTAKIWI KUVIJUA 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-04-04 18:57:33
15
doreenrichard349
Doreen Richard :
Ameen, hili neno limekuja kwa ajili yangu, Asante Baba🙏
2026-04-03 08:49:52
38
philemon.michael
Philemon Michael :
Jaman kuna Injili nzuri sana zimefichwa kama hii! MUNGU ambariki sana Mtumishi huyu.
2026-05-21 12:10:23
4
thebeautyluxetz
TheBeautyLuxeTz :
Huyu baba amenibariki sana in the 4 days alizotufundisha 🙏🏾
2026-04-04 15:49:55
9
adammbuya
adam mbuya :
Huyu Mtumishi anakitu kikubwa sana sana ndani yake
2026-04-04 15:47:37
12
jacline.jackline
doreen :
sauti ya mamlaka🥰🥰 ,Mungu azidi kukuinua baba
2026-04-03 19:01:57
7
petty.lee7
it's- melalin🍓🥰 :
ambwenee aliimbaaa nguvu ya kujua mabayaa ouna madharaaa mengiiii🥺
2026-06-03 14:46:01
1
luvandaluvanda05
luvanda luvanda :
muchungaji bilali kumbe upo juu ivoo🥰
2026-04-06 07:12:17
3
madamsabinamc
MC madam sabina☝🏽|0755321808 :
Ili uwe na amani kweli kuna vitu hitakiwi kuvijuaa
2026-06-07 16:40:54
1
user9944773609419
bishopedsonkanyenye :
mungu akulinde
2026-06-12 21:05:23
1
israel.boyo
ISRAEL BOYO :
🙏🙏🙏 mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana
2026-06-01 06:36:05
1
dada_africa
DADA AFRICA :
Ameeeen
2026-04-03 17:17:33
5
iamruge
IamRuge😘 :
Nikajua Chid benz😆
2026-04-07 19:43:25
2
behumble748
𝘼𝘾𝙏𝙍𝙀𝙎𝙎 𝙈𝘼𝙈𝙐 🎬 :
Asante sana baba Kuna wakati tunapitia magumu tunahisi mungu kama vile ametuacha kumbe tungejua mungu anatuepusha na mengine mengi
2026-04-06 02:19:15
2
pasteuramani1
Pasteur Amani :
exactly
2026-06-21 13:48:05
0
sonofking38
Son Of King 👑 :
Nimemuelewa san
2026-06-05 22:10:44
0
hamicluvanda682
luvahamis :
amen
2026-06-02 05:09:02
0
adrofu4
A :
Aminaa🙏🙏🙏
2026-06-01 23:07:25
0
hellenngallaba
hellenngallaba :
Ameeen🙏🙏🙏
2026-04-04 06:18:43
0
To see more videos from user @pastortonyosborn, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About