@kusagatv: Watu wengi sana wameni inbox kuhusu Bibi ambaye leo amefiwa na kijana wake Tumaini Amiri maeneo ya sanawari baada ya kugonga Chumba zilizopo pembezoni mwa barabara na kufariki Dunia hapo hapo akiwa na pikipiki kutokana na taarifa hiyo wasamaria wengi wameomba nifuatilie namna ambavyo wanaweza kumsaidia na kumchangia huyo mama mana anaishi na Mjukuu wake ambaye baba yake ni huyo aliyefariki kwa ajali Nimefuatilia mama huyo anaishi Maeneo ya sekei na mjukuu wake lakini kazi yake yule mama anaomba msaada mjini akiwa na Mjukuu wake japo mjukuu anasoma akitoka shule anaungana na bibi hivyo kitu cha kwanza hata kama tutamsaidia bibi kwanza lazima tupate mazingira salama ya yule mjukuu kusoma na aondokane na maisha ya kuomba akiwa na Mjukuu wake awaze masomo. Mh Waziri @gwajimad Mama mwenye Roho yake Njema Tunaomba Watu wa ustawi wa jamii watusaidie hili Cha pili bibi hana Simu lakini kuna msamaria mwema amesema atanipa simu nimpelekee na nifanye utaratibu asajiliwe na laini ya simu ili mwenye chochote amsaidie lakini pia baada ya kuzika sijajua utaratibu ukoje lakini tuje tumsaidie na mtoto pia Hasa suala la kimasomo mana bibi ana maisha magumu na hata pale alipokuwa anaenda mjini ndiyo alikutana na ajali ya mtoto wake lakini ukiwa na Chochote tu kwasasa kabla hatujamsajilia laini unaweza tu ukaweka kwa 0624007652 Jina ni Alphonce Kusaga halafu nitawasilisha mchango wake kwa uaminifu mkubwa lakini kama kuna mtu mwenye wazo basi ni vema tukashirikiana kila kitu kitakuwa wazi tu Maisha haya anapanga Mungu @officialzungu_ aliomba ingalau kwa awali tufanye hivyo mana Dingoo wa Naye kaguswa sana Mbarikiwe Ni kusaga Mwandishi wa wananchi

MWANDISHI WA WANANCHI
MWANDISHI WA WANANCHI
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 03 April 2026 20:50:43 GMT
6500722
220650
12476
5647

Music

Download

Comments

emmilyb3
Emmiliano🌹😍 :
when a mother cries the world cries with her😭😭😭
2026-04-03 23:17:42
2865
itsreenmichael
Renee Mrs JR🔐 :
Ebu imagine unaingia online unaanza na hiii😥😭😭
2026-04-04 06:23:23
5454
gracedaniel785
gracedaniel5866 :
Mungu naomba anza na huyu kwanza 😭😭
2026-04-03 21:39:24
5225
misasaid01
Uwimana centhiya :
Naomba awe mama yangu nitamsaidia kila nitachojaliwa na mwenyezi Mungu 🥺
2026-04-04 05:30:56
3070
user1805382243981
diego From kigamboni Dsm :
Mungu mpe huvumilivu mama yetu
2026-04-03 20:57:09
1850
arumbacyahoocom
carey :
Huyu Mungu unayemuita atakujibu bibi na kukusaidia.
2026-04-04 04:13:47
868
kelly.classic1
Kelly Classic :
Kuna muda Mwenyezi Mungu anatupa mitihani migumu sana kwenye maisha.. sio kwa sababu upendo wake kwetu umeisha bali anataka kutu kumbusha kuwa hakuna wa kumtumaini zaid ya yeye mwenyewe...🙏🙏
2026-04-03 21:36:22
1164
happy33532
🦋happy🦋 :
nisamee Mungu kama nakosea kuomba ila ombi langu kwako mtoto wangu anizike na sio mimi nimzike 🥺🙏🏼
2026-04-04 09:21:43
295
taddydee
💖Beckie🦋 :
who else is crying 😭😭😭
2026-04-04 08:28:52
237
muzehenyash
Mr AI🫏🦍 :
📖 Yesaya 41:10 Usiogope, kwa maana mimi nipo pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia,
2026-04-03 22:29:32
671
momb984
priscar ❤🦋 :
MUNGU msaidie kwanza huyumama me ntasubil 😭😭😭
2026-04-04 02:29:22
274
mpking040
MP king 👑 :
ya Allah nijalie mwisho mwema pamoja na wewe unae soma hii coment amini
2026-04-05 19:28:26
143
user4212321811381
Rose :
Nimelia jamani mungu amtie nguvu uyu mama jamani
2026-04-04 04:25:08
57
mrs.___68
Ms ___ :
😭😭😭 mungu ni wewe umeruhusu simama mwe katika hili😭😭ni zaidi ya maumivu
2026-04-03 21:37:12
560
habymantrak
Haby Mantrak :
Mungu Haya maumivu usimpe yoyote kati yetu tunakuomb🙌🏼 yarrab
2026-04-04 10:24:27
60
latliiy
Latliiy :
Aloingia online video ya kwanza ikawa hii like apa
2026-04-05 19:05:12
25
yoo.boy0
YOO BOY 💎 :
mungu naomba umfariji Bibi huyu na umtie nguvu dah !!
2026-04-04 14:18:35
20
user72167020
Emmy henna makeupatrist tz :
Mungu akutie nguvu mama yetu
2026-05-13 17:45:42
5
neemakimaro81
ney 🇹🇿 :
mungu acha yangu kwanza anza na huyu mama jmn
2026-04-03 22:37:36
40
khadja.shaban3
Khadja Shaban :
kwaambao awajawai patwa naili uwezi elewa maumivu ayaaaaa🥰🥰🥰🥰🥰
2026-04-03 21:43:45
132
ngina.mukeli
Ngina mukeli :
nimeishiwa na nguvu Tu mungu mkumbuke mama
2026-04-06 05:19:41
7
diane.cheri
Diane cheri :
when a mother cries all the nation cries😢😢😢hugs momma
2026-04-04 01:30:55
56
lizzy.lisa12
lizy lisa :
Mungu kumbuka huyu mama aki🙏
2026-04-05 22:47:43
7
putryuncle
pyuter uncle :
emungu tulindie familiazetu.nadunianzima😥😥
2026-04-03 22:00:41
15
user6981551450860
Cathylove💞✨️ :
mungu wangu nimekuomba mengi ila anza kwanza na huyu mama angu mpatie itaji la moyo wake Amina
2026-04-04 06:23:28
6
To see more videos from user @kusagatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About