kadada kachawi haka😂😂 ila nakupenda mchawi mwezangu🥰🥰
2026-04-11 07:37:50
3
Sasha :
Hata haujamaliza nna ushuhuda nnayo kbsa…yooo this thing are real 🙌🏾
2026-04-04 10:56:54
5
agathamakoko :
naipataje na bei yake ipoje
2026-05-26 12:27:17
2
Mamii irene :
mm nilifanya hiyo kitu Kuna jambo nimeona thankx
2026-04-06 06:44:35
6
Valerio🍓 :
nawezaje kufanya jamanii nimechokaa
2026-05-05 13:44:02
2
user2759276612868 :
Nashukuru dear nimefanya hili zoezi Awery baada ya dk chache nikaanza kusikia kichwa kinauma lakini before Kuna hali nilikuwa nazikia mwilini hazikuwa za kwaida ila nimeanza kufungua kwakweli kulingana na ninavyojisikia sasa
2026-06-13 08:54:41
1
Dollar bills 💸🤗 :
I'm Capricorn and I'm so blessed 🤗♥️
2026-04-04 18:33:38
6
Sabri knows herbs :
umenenepa kinoma hadi mashavu abujubuju.🥰🥰🥰
2026-06-02 11:17:21
1
mariasangusangu :
Sema nashukuru Mungu sio nashukutu tu hewa
2026-04-10 22:58:45
2
DAM⚘️ :
bei gan chai yako??
2026-04-29 12:54:08
1
princess B :
Ni shi ngap iyo herbal foot barth
2026-04-22 12:54:50
2
LAURA❤ :
My fave mentor❤️
2026-04-17 04:55:53
2
umuu halima :
uko mahali gani
2026-05-01 11:26:32
1
Has killer :
nilikumiss dada kipenzi awery
2026-05-08 18:40:57
1
Being_Neyz_360 :
Wooow napenda unavojitambulisha😂😍
2026-04-04 06:05:37
6
Mwanahamisi Msuya :
Mimi nitapataje mamy
2026-04-09 13:55:45
2
omwanaosheba :
wah ok
2026-04-06 19:12:49
2
Simbila Dyeshi :
unyama sana
2026-04-07 17:27:20
2
jigi :
nitafanya na nitaleta positive feedback, Asante Awery lots of love
2026-04-05 03:48:04
4
angela benedict :
am happy to be in this page today bby. ngoja nkakufallow love
2026-04-10 12:16:34
2
Trivana💎 :
Wow Thanks you 🥰
2026-04-07 16:47:34
2
Dollar bills 💸🤗 :
666 I claim it ♥️
2026-04-04 18:28:31
2
Khaadijah :
mimi naona kama sijaanza kuishi yaani nipo nipo tu
2026-04-04 10:04:15
4
Gheghe's Fans :
unafanya mara ngapi kwa mwaka!?
2026-04-04 08:49:16
4
To see more videos from user @_awery, please go to the Tikwm
homepage.