astaghfirullah sjakata tamaa lkn kuna jambo naomba inafika mwaka wa tatu kila sala ya haja nnayoiskia naomba lkn badoo🥺🥺🥺ya Allah nifanyie wepesi kweny hili jambo la Moyoni mwangu litimie ITIKIENI AMIIN JAMAN PENGINE ITAKUWA ASBAB YA KUPATA🥺
2026-04-04 18:52:42
100
Aysha Issa :
haifunguki🥺
2026-04-04 17:28:46
1
user8208411761039 :
walahi nikwel kabisa nimeiswal hii swala na Allah akanipa nilichomuomba nimefatilia madarasa ya huyu ostdhi anachoelekeza upande wang nimefanikwa
2026-04-04 14:50:37
31
Hassan Athman :
Assalaam alaykum,. kuna atahiyatu baina ya rakaa mbili
2026-04-04 18:08:44
3
hawfidh🥀 :
Hii swala hatar kabisa
2026-04-06 13:18:43
6
عيون جميلة🥹😍😘🎼 :
Tunaomba ya mafanikio ktk masomo ns mitihan shekh 🥺
2026-04-04 17:59:39
5
cuteliner :
Mbna umefunga kudownload
2026-04-04 19:29:57
0
Remmie Mbabazi :
At what time is that prayer
2026-04-08 03:46:04
1
AminaZulfa :
allahu Akbar nzuli sana nishaitumia namungu akanijib🙏🙏
2026-04-26 12:33:40
1
Ahmad 2wa :
RAKA YA NNE SURATUL IKLAS MARA 40. UKISHA TOWA SALAMU UNASOMA TENA SURATUL IKLAS MARA 50. HALAFU UNASEMA ISTIFARI MARA 50. HALAFU SWALATU AL'NABII SWA
2026-04-07 10:32:48
3
Dogo Iddy :
shekh maswali ni mengi sana katika lakaa ya pili tunakaa attahiyyat kama adhuhuri au tunaunganisha
2026-04-07 10:42:24
1
mwaney :
asnte sana sheikh wangu allh akuhifadhi uzidi kutuelimisha