chukua giligilani na na mint chemsha kwa pamoja oya ni balaa ninzuri sanaa kwa kutibu figo.
2026-04-05 17:26:37
15
J🤎 :
Kama hupati choo ukitumia hiyo nibalaa
2026-04-04 11:17:45
5
Ms.nerea💕 :
dawa ya hemorrhoids jmn 😩
2026-04-18 12:33:45
0
BINTY MUSA :
@UMMU RANEEM:unyayo kuuma..asubuhi kwanza ndio sana.
dawa yake nini
2026-04-20 14:20:20
1
Naomi ❤💫 :
me nataka dawa ya presha
2026-04-06 17:57:11
1
gilee :
Dawa ya baridi kwenye mifupa jaman 😭😭
2026-04-14 18:42:39
0
mama Sasha💕 :
figo iliyoanza kuchoka inasaidia?
2026-04-05 14:38:15
1
William's02 :
Mimi hii naipenda tuu sina shida yoyote lakini kwenye paste zangu za chakula lazina nisagie na kukatia kwenye mboga kwajuu huwa naipenda harufu yake bila kujua nakula dawa...
ahsante Mungu
2026-04-18 08:18:11
1
Latifah’s_Oven :
Dawa ya ngiri dokta
2026-04-06 20:48:16
2
M.D💙 :
je dawa ya jino
2026-04-07 08:52:11
0
wozaaa :
yanaitwaje jina la kawaida hayo majani
2026-04-17 17:56:15
1
Kitty :
Dawa ya Uric Acid please
2026-04-28 09:42:57
0
sifa :
naomba jamani dawa ya kidney infection
2026-05-08 00:28:54
0
Anne :
asante kaka
2026-05-25 17:46:37
0
Mwasiti Sabih :
dawa ya kuludisha hedhi please nina mwaka sasa sijapat
2026-05-09 18:19:09
0
evernomy1 :
dawa ya allergy jaman
2026-04-18 14:43:53
0
SN-smart collection❤️ :
Elim kuhus acid reflux plz🙏
2026-04-19 12:31:52
0
Mrs Abdully Og 🧕 :
na inatoa mawe kwenye figo na kusafisha kibofu ninaushuhuda🥰🥰🥰
2026-05-28 07:25:25
0
Nouriyyan :
unatumiaje
2026-04-04 23:51:02
0
To see more videos from user @vigourhealth, please go to the Tikwm
homepage.