@oliviasgiftshop: Mahari decoration🔥🔥🔥 At Olivia’s Giftshop💯💯 #goviral #viral #fypシ #tanzaniantiktok🇹🇿 #zawadi

Oliviasgiftshop
Oliviasgiftshop
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 04 April 2026 13:29:14 GMT
65232
1730
104
623

Music

Download

Comments

user9951130720106
jes :
Kwa nilipofikia aje na blanket la bibi inatosha😅
2026-04-07 09:56:41
35
jacklineshiyo845
Jackie🎀✨ :
sasa hapo mbege itakaa wapi😁kam mnavyo jua wachaga plus blanket la bibi🤣
2026-04-07 11:14:56
12
cylicheria.mugele
Cylicheria Mugele :
cha msingi amani na mtu sahihi
2026-04-07 08:48:05
10
prescious529
prescious :
mhhh wee kuweza mbona nitazeekea nyumbani😅😅😅
2026-04-28 10:10:36
2
lucy.mmbando.juni
Lucy Mmbando Junior :
chanameee bhna unaniponza nimuache sio😅
2026-04-07 13:19:40
1
janipher.joseph
Nipher outfits :
Sijui itakua mwaka gani
2026-04-07 14:24:13
1
rahmaambayegh
rahmaambayegh :
😅😅😅😅😅 mi nacheka tu mwaya
2026-05-06 17:34:33
0
___.cherlyyy
___.cherlyyy :
Sasa hii ndio Afulele🥰😂Sio ile ya ndizi mbivu na mchele😂🫶
2026-04-06 19:07:12
12
godsprinces_2
God's princess :
msituponze sasaa😂
2026-04-09 13:14:56
1
pendoenocklubua
Pendo lubua :
usinitie majaribuni hivyo vitakuja kwenye anniversary
2026-04-07 14:44:57
4
vera7436
Vera cosmetics 🧴 :
Mm mahari yangu yalitumwa kwenye account direct😂kumbe ndo hivi😭
2026-04-07 06:07:02
5
user2268376724483
user2268376724483 :
wanapatikana wapi tuje😂
2026-04-07 13:26:01
1
peninanyankaira
Pretty peny :
sie ambazo mahali n ngo'mbe gonga like apa🥰😂
2026-04-14 12:19:25
2
yulithamanilabona
Yulitha Manilabona :
Eeeeeeeeh
2026-04-07 10:03:51
1
rosebeth68
STORY-TELLER🫶 :
Yako ilikujaje 🫴😅😅
2026-04-07 10:56:13
1
twenzetu_mitumbani
Catherine 🌴 :
😂😂😂 kidogo uniponze
2026-04-08 13:08:11
1
everjozey
everjozey@ :
wow
2026-04-07 16:52:46
1
charmhaven_jewery2
charmhaven_jewery2 :
Mnapackage kwaajili ya watoto?
2026-04-07 11:20:02
1
mamamode19
MAMA MODE 😂 :
sasa sitaolewa mmezidi 😂🙌
2026-04-07 10:14:29
1
feriha.feliz
Feriha Feliz :
yangu nitumiwe tu kwenye simu nadaiwa songesha😁
2026-04-07 11:28:12
1
pdx2053
Pdx20 :
Nadhan we umepata mshua shukur muombee wengine wanapata wa hali ya kawaida
2026-04-07 12:44:45
1
user2373406930492
It's Noor🦋 :
Me yangu ilitumwa kwenye account nachk yooooh😂😂😂
2026-04-07 09:29:44
1
amneymartinez3
katoto :
mmh au basi mahari ndio nin😂😂😂
2026-04-08 09:27:04
1
chimdolly
chimdolly💞 raji :
Mambo ni🔥🔥🔥
2026-04-04 13:36:09
4
sayuni669
sayunilazaro :
Nisipokubal utaniruhus nikae kwenuu🥰🥰
2026-04-07 13:58:05
1
To see more videos from user @oliviasgiftshop, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About