@sbh_tafsiri: Hivi unajua katika Movie ya Barsaat ilitakiwa mnyama Akshay ndiye awe Star wa Movie na ilikuwa tayari washaingia location 🤣 ila kukatokea uvumi wa kuwa hawa wawili yani Akshay na Priyanka wanadate a.k.a wapo kwenye huba zito mkewe Akshay ..,Twinkle akasema msinitanie akamwambia Akshay sitaki nikuone huko nitakulipua na kichwa chako kama skonzi hicho nitakitafuna Akshay akaona ya nini mie niliwe kichwa akasitisha kuwepo katika hiyo movie na ndiyo Director akamchagua Bobby Deol kuchukua nafasi🤣Mapensiii Mapensiii Mapensiii #barsaatkedinaaye #barsat #sbhtafsiri
꧁•٭S B H٭•꧂
Region: TZ
Saturday 04 April 2026 16:13:14 GMT
Music
Download
Comments
UZARSIFU 😎 :
bro nipe mer mehbuba ya shah ruh khan movie ni pardes
2026-05-11 07:52:52
1
Sadillah Adam :
Ndo nilikua najiuliza mbona hiki kipande km cha barsaat
2026-04-11 16:04:55
0
Usherjuma :
alaa kumbe
2026-04-07 12:00:26
0
bayoun matundu :
naomba Ile hamesha hamesha
2026-04-04 18:54:34
1
💐momo💐 :
hii ni andaz ila kuna movie yaitwa barasat Priyanka na bobby deol zimefanana hizi movie
2026-04-06 20:01:49
0
erickbenda Mpalianda :
Barsaat yaani mvua, movie ya kwanza ya Vijay Sigh Deol
2026-04-06 19:54:10
0
sir meja :
Wahoo 🤩😘🥰😍
2026-04-05 08:27:57
0
Raudullah :
na mm naomba jamani ''silsila badalte rishton ka" please 🙏
2026-04-05 13:06:45
0
@mamyraj :
angetafunwa akshey 😂😂😂😂
2026-04-05 08:51:25
0
Abdulizer(anko🤑) :
hii nimeipenda kabisa ❤️🥰
2026-04-05 01:39:13
0
Abduly kidary :
asante sana kwa kazi hii nzuri kutoka kwenye mikono yako kutoka kwa bob deol akiwa na priyankra chopra movie 🎬 nzuri ya BAARSAT.🥰🥰🥰🥰🥰 lovely 😍 👌 👍
2026-04-05 05:56:09
4
Millah🦋 :
Angemlipua tu😅😅😅😅
2026-04-04 19:27:57
0
🦋✨️lonely fairy 😔🦋 :
ila hii n video ya kwanza yenyewe n ya bobby deol yan chaguo la pili☺️😊 BARSAAT
2026-04-05 00:29:42
0
naftahan- 🌺🐝 :
2026-04-04 16:42:11
0
Abduly kidary :
koyla movie song lolote lile kwenye hiyo movie 🎬
2026-04-05 05:58:37
0
Mrs samatta :
ila mapensii🤣🤣
2026-04-05 12:08:16
1
S💖H :
Hii ni yakwaza walichafuana ndio akashika babdeo
2026-04-05 20:05:02
0
ECE Cassim :
n mm naomba kasam ki kasam y hirithik n karina kapoor plz plz
2026-04-05 19:31:33
0
mr ramso :
sisi vijana wa zamani umetutenga sanaa.. fanya japo *dekha ek khwab to ye silsile hue* ya Amita 🤗🤗
2026-04-05 08:00:20
0
Fatma R :
❤️
2026-04-04 17:04:19
0
Muslim girl 🤍🦋 :
😂😂😂
2026-04-04 18:09:53
0
Massy Rich 🎶🎼🥁 🎻 ♊ :
🥰🥰🥰
2026-04-04 16:29:19
0
jokhaa.🥰 :
🥰🥰
2026-04-04 17:51:05
0
fatma khamis :
🥰🥰🥰
2026-04-05 05:51:29
0
To see more videos from user @sbh_tafsiri, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.