@zellahuzazitips: 🦷 MATATIZO YA MENO YANAYOSUMBUA WATU WENGI! Usipuuze dalili hizi: • Maumivu ya meno • Harufu mbaya mdomoni • Fizi kuvimba na kutoa damu • Meno kuoza au kutoboka • Maumivu ukila vitu vya moto au baridi Watu wengi huishi na maumivu kwa muda mrefu bila kujua kuwa tatizo linaweza kuwa kubwa zaidi. Tibu mapema kabla halijafikia hatua ya kung’oa jino. 📩 Wahi kupata ushauri na matibabu mapema. #foryoupage #madamzellah #afyayangu #dentalcare