@willyshemoka: @Duke Deuces Abuya 🙏

willyshemoka
willyshemoka
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 05 April 2026 09:01:28 GMT
284251
31111
241
576

Music

Download

Comments

quad_e1
Quad E_08 :
mi nina wanaonitegemea ila mimi sina ninaemtegemea😭😭😭😭
2026-04-05 19:49:41
195
tuzomnene
Maisol mtumba store👚👗👖 :
Yn kuna watu wananitegemea. Ila me namtegemea Mungu.. kuwa first born sio rahisi🥺
2026-04-05 19:58:09
105
joe.ak16
GHOST 3908✌️ :
elewa neno watu wengi wapo nyuma yangu 🥺💪
2026-04-05 18:42:36
139
danilo_lomom0
Danilo_lomomo :
all first born will understand
2026-04-05 19:06:14
11
user44811424478197
man kind :
moja kati ya maneno yaliyonifanya nifikilie sana kwenye maisha ni haya siwez choka Kuna watu weng Sana nyuma yangu wananitegemea 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-04-05 19:16:45
45
v.mwijarubi
V mwijarubi :
pambana kaka mungu yupo na wew
2026-04-05 17:41:16
51
ramla.ramla719
Ramla Ramla :
hii love ya Duke na Dube jamani ni zaidi ya familia Allah awalinde
2026-04-05 17:18:14
39
shortii_phones
SHORTII_PHONES :
🔥🙌🏾 Bila kuchoka
2026-04-05 21:18:40
9
user6206509584602
lissajosebona :
Mungu akupe afya njema daima pia akulinde Abuya🙏
2026-04-05 19:48:54
11
mudrick_hb
🌲MUDRICK🌴🌲 :
Daaah me ni simba sc ila kwa kauli hii duke kashakua role model wangu📌❤️
2026-04-05 20:00:09
9
gwasamanmswazi
Mshua :
huyu kwa busara hizi mechi ijayo aokote tena aisee.lets Go wananchi 👏
2026-04-05 17:58:31
29
user6195715513460
gabless :
hadi natamani ungekuwa mTz..so humble boy 💪
2026-04-05 18:27:30
19
y_boy3
y_boy3 :
🥰🥰pambana kaka
2026-04-05 21:07:13
5
edgar.mwaipungu
Mwaipungu.Walker :
Mwamba aliongea Fact Sanaa Rispect kwake
2026-04-05 20:55:33
9
eelectronics65
E-ELECTRONICS :
Hii kauli inatugusa wapambanaji wengi sana
2026-04-06 00:32:23
8
32tintaahwizzy
🅾️fficial WIZZY🇿🇦 3️⃣2️⃣ :
tunaotegemewaa tujuanee kwa like
2026-04-05 19:54:58
6
kulwabernard82
Kulwa Bernard :
sante sana duke mungu akutie nguvu na afya
2026-04-05 18:57:16
6
elieth.255
Elieth 255 :
naomba elewa, niko na watu wengi nyuma yangu 🥰🥰
2026-04-05 19:11:55
6
blessing255699806895
blessing the prince🤴 :
kutoka singida hadi yanga kwel mungu mkubwa san😭🙏🙏
2026-04-05 20:13:20
6
lamysaid78
lamysaid78 :
my favorite player duke abuya
2026-04-05 19:25:03
10
raymond.john.kida
Raymond John Kidaha :
point
2026-04-06 07:10:40
1
blacqcomics
Blacq-comics :
💯💯💯 kweli
2026-04-05 19:41:04
3
samuelmbwil
PAPY ESCOBAR :
noma
2026-04-05 19:56:56
3
jimmyking553
jimmy king :
respect boy
2026-04-05 20:11:34
3
abdunas77
🇦🇬 Rãzàck y📟💝🌴 :
fact ❤️❤️
2026-04-05 18:51:03
3
To see more videos from user @willyshemoka, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About