@mbossotz: Nisaidie Kuwasapot Marafiki Zangu Kutoka Burundi 🇧🇮 , Wimbo Wao Unaitwa Mimi ni Nani Wamenishirikisha Mimi Na Sasa Unapatikana Kwenye Mtandao Wa YouTube “ Please Let’s Support Them 🙏 “ @les_rachats_classic.band 🇧🇮 #MimiNiNani #Burundi #Bujumbura
Mbosso Khan
Region: TZ
Sunday 05 April 2026 09:13:14 GMT
Music
Download
Comments
Samuel :
akuna nyimbo apo
2026-04-05 12:00:52
25
Al Watan Chui :
Mbosso khan mshededee🔥🔥
2026-04-05 09:31:14
554
CHUSSE🤍🇨🇦 :
wewe unasoma comment hii nakupenda 🥺💔
2026-04-05 13:39:01
227
TEfA_ALHARTHY :
Umewezaaa tuh🥹
2026-04-07 05:54:22
7
hellen🎀❤️ :
Nalipa10/10
2026-04-05 13:20:54
24
NOBODY OG 🌍 :
10/10
2026-04-05 17:42:22
8
gloria kabuya🍎 :
kama unapenda mbosso like apa
2026-04-05 19:46:04
23
✨BLESSED MARTIN 🇰🇪✨ :
nalipa 20/20
2026-04-07 19:52:58
6
Golden star :
5/5 twndee.nalooo😎😎
2026-04-05 12:21:17
8
MINJA BOY :
Nyimbo ni Tiba ya nyakati zote 🔥 umeau bro 🔥🔥
2026-04-05 20:07:09
19
saintpaby‼️ :
20/20 nalipa chap now 🥰
2026-04-06 19:44:23
7
Mrs waby ☘️OG...🔐💍 :
10/10
2026-04-06 04:52:27
9
silver D :
10/10 njoo
2026-04-05 09:59:34
9
WBC world 🌎 :
mashallah ,🙏🙏 mungu akupeleke international zaidi
2026-04-05 13:45:15
13
Sol 0. King :
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮one love brother ❤️
2026-04-05 10:23:41
13
ladyprecious116🦋🦋🌹 :
Mungu akuweke kwa ajili yetu tunapenda sana kaz zako 🥰
2026-04-11 16:48:09
8
Catherine Mkama🥇🥇 :
unajua sana aisee
2026-04-07 09:48:20
5
. :
imba haraka haraka mbosso
2026-04-06 11:27:38
7
Kidoty_Outfit :
Awwwhhh my star mboso akeeee👌💋❤️🔥
2026-04-05 09:37:09
51
Kepha kajero :
mboso hiii nyimbo kali bana
2026-04-06 05:53:16
10
creatorkhan_ :
Kama unamkubali mbosso gonga like hapa 👏
2026-04-05 09:38:24
11
J👌👌👌🌹💐Remsy ❤️🙏 :
japo mm si level yako Kwa music 🎵 ilaaa hiyo verse haingii na chores broh na kama hautomind ni DM
2026-04-07 11:16:19
9
Mali business BKv👜💸 :
Mungu aku bariki sana 😳😳😳
2026-04-05 09:25:24
8
Samo_junior🧢 :
kàma mungu kakujalia afya njema mpka kufika dakika hii sema Asante mungu na like hapa saivi
2026-04-05 09:44:32
11
clean :
nilijuwa bongo flavor tuu hadi zakumsifu munguu daaah 🔥🔥🔥
2026-04-06 10:08:30
11
To see more videos from user @mbossotz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.