@drbenedicto: 🔴 DALILI ZA KISUKARI ✅️Kukojoa mara kwa mara ✅️Kiu kupita kiasi ✅️Njaa mara kwa mara ✅️Kupungua uzito bila sababu ✅️Uchovu mwingi ✅️Vidonda kuchelewa kupona ✅️Kuwashwa sehemu za siri ✅️Kuona ukungu ⚠️ MADHARA YA KISUKARI ✅️Uharibifu wa figo ✅️Kupoteza uwezo wa kuona (upofu) ✅️Magonjwa ya moyo ✅️Kiharusi ✅️Uharibifu wa mishipa ya fahamu (ganzi/miguu kuungua) ✅️Vidonda vya miguu vinavyoweza kukatwa ✅️Kupungua nguvu za kiume 🚨Ukiona dalili hizi, ni muhimu kupima mapema na kuanza matibabu haraka. ❇️Kama unapitia dalili hizi usipuuzie ni hatari sana kwa msaada zaidi +255629088992. #mozambique🇲🇿 #tiktoktanzania🇹🇿 #diabetes #trending #tiktokuganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬