@sbh_tafsiri: Enzi hizo kuna kiumbe kiliitwa Mithun Chakraborty 😃vitoto vya Afu2 hilo jina wakiliskia hawaelewii🤣🤣🤣 #mithunchakraborty #gorokinakaaloki #sbhtafsiri

꧁•٭S B H٭•꧂
꧁•٭S B H٭•꧂
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 05 April 2026 16:37:55 GMT
60614
4005
117
257

Music

Download

Comments

mchakato_
mchakato_ :
watoto wa 2000 hapo mtuache kabisa nimekumbuka mbali sana🥰🥰
2026-04-05 18:21:35
19
mamyhar
@Mamyraj :
mzee mithuny 🥰
2026-04-05 16:53:25
0
neemathobiasi
neemathobiasi :
dah! umenikumbusha mbali sana😂😂😂
2026-05-20 11:04:08
2
young.rapper.tz
Tiffu Magari :
Siyo wote broo hatuelew haya mambo
2026-08-22 11:35:42
4
ibrahimrahimswetu
ibrahimrahimswetu :
ww noma sana asee nipe na commando
2026-04-05 18:24:56
6
sophiasalumkitogo
sophia salum kitogo :
sijui kwann hii nyimbo inanipa hisia ya kulia,dah movie inafundisha saaana hii
2026-09-01 14:59:50
2
neyliciouz1992
Neyliciouz :
muvi yangu pendwa jamani hii nyimbo ilikua inaniliza
2026-04-18 22:02:19
1
saiyaara106
saiyaara :
umenikosha Sanaa leoo
2026-04-05 18:15:00
0
akbarbajira499
A~💥 :
baba unanikoshag moyo 😅😅 hind song is my favorite
2026-04-05 17:32:12
0
bissouma584
Bissouma :
Kwan sie watot wa 2000 hatukumbuk au
2026-08-25 11:31:01
4
iddrissa4
iddrissa :
hii movie inaitwaje
2026-04-05 18:13:10
0
user9805549825544
Minah :
Hii Movie mama alikuwa ananihadithia walikuwa wanatafasiliwa na kakayao 😀 Anasema alikuwa anawaongopea2
2026-04-07 15:35:32
3
prettyinnah519
blessed Inaya🥰 :
acha uongo tumekuwa nyumbn tunaangalia na kuimba bado wadg sana
2026-04-05 19:04:25
3
mohamedakidan
Mohamed Akidan :
Hii ndo movie ya kwanza mm kuangalia mkuu 2000 iyo
2026-04-05 17:36:20
3
kimaliperfume123
KIMALII resale perfume ✨️ :
endeleza hii please
2026-04-05 18:13:43
0
rashidi900
CHONGO BOY :
amni
2026-04-05 19:03:31
0
bwanamalundi9
Bwanamalundi9🇹🇿 :
Kazi nzuri aseee
2026-04-07 04:44:00
0
mchakato_
mchakato_ :
disco dance🥰
2026-04-05 18:21:15
0
rasam.jr
rasam.jr :
Disco dancer ❤️❤️❤️weka mbali na watoto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-04-05 16:53:52
2
phinapascal2
marium :
😭😭😭😭😭😭wewe
2026-04-05 16:55:05
0
pirato45
PIRATO💀 :
Aaaah mwambaaa uyuuu apaaa ni yeyee 🔥🤣
2026-04-05 18:30:01
0
arnoldshozii
SHOZII 🥊🏋‍♀️ :
nililia sana hii movie 🥲🥲🥲🥲
2026-04-06 17:37:52
1
official_dml07
ynbl :
1982 duuh oya muda sana😁
2026-04-06 18:36:42
1
user9805549825544
Minah :
Ni nzur sana hii Movie, mim sijabaatika kuiona ila nilihadithiwa2
2026-04-07 15:36:53
1
_snowwhitte
.🦢 :
Disco dancer old is gold 🥺
2026-04-05 22:44:45
2
To see more videos from user @sbh_tafsiri, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About