@uniforce_energies: Hivi ndivyo phase failure relay inavyofanya kazi. Phase failure relay inafuatilia uwepo wa phases zote kwenye mfumo wa umeme wa three phase. Inahakikisha supply ipo sahihi kabla ya kuruhusu kifaa kuanza kazi. Inafanya kazi kwa njia hizi: - Inatambua phase kukatika - Inagundua phase sequence kubadilika - Inachunguza voltage kushuka au kupanda kupita kiwango Kama kuna hitilafu yoyote: Relay inakata circuit na kuzuia motor au kifaa kuendelea kufanya kazi hivyo kulinda vifaa dhidi ya uharibifu Mfano wa matumizi: - Motors za viwandani - Pumps - Compressors Faida yake: - Inapunguza risk ya kuungua kwa motor - Inaongeza maisha ya vifaa - Inalinda mfumo mzima wa umeme Hiki ni kifaa kidogo tuu lakini kina mchango mkubwa sana kwenye ulinzi wa mfumo wa umeme.

Uniforce Energies LLC™
Uniforce Energies LLC™
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 06 April 2026 04:00:00 GMT
26021
1187
34
51

Music

Download

Comments

ngesho67
Berlin :
namna iyo🔥🔥
2026-04-06 20:23:44
6
user8983388498072
Timothy Maina :
how much
2026-06-06 17:08:50
0
tonyamani254
Engineer Tony Electricals :
Yoh bro vipi
2026-04-12 06:54:31
0
55abdulkareem001
manyigu tz :
your inspired me 🙌🏼🫡
2026-04-12 19:24:08
2
khaliff_zacchy
Zach Zachary :
can you use number 3 kwa control before ifike kwa contactor ??
2026-06-02 08:16:47
0
user4061091778678
Well :
unajua
2026-04-08 15:34:22
0
jylyric24
decipher 🎼🎤 :
Je mechanism yake ipoje na kama umechukulia kwenye phase one na phasing ikatokea kwenye phase 3 hapo inakuaje
2026-04-06 05:34:14
1
simaishaame
Simai Shaame :
2026-04-08 08:26:16
1
collinscollo07
collinscollo07 :
can it control 2 or more contactor
2026-04-06 21:11:21
0
abuu5008
Abuu :
big up brother
2026-04-08 08:19:34
0
ditram.dick
Ditram :
nakubar
2026-04-06 13:13:02
0
simaishaame
Simai Shaame :
nimekusoma kaka natumiya San hiyo
2026-04-07 15:20:21
0
grldlemakogrldlem
Gerrald air condition :
je phs ikibadilika itazima ama itabaki vilevile
2026-06-16 17:19:51
0
crescentelectrica
Crescent Electrical :
💪
2026-04-07 17:17:17
0
gmrdrillingcompany
GMR BOREHOLE DRILLING :
🔥🔥🔥
2026-04-06 18:44:29
0
hosea.mhagama1
Hosea Mhagama :
🙏🙏
2026-04-06 10:25:07
0
furaha.mwangama
MWANGAMA A/C :
👏🤝✊
2026-04-06 15:43:14
0
To see more videos from user @uniforce_energies, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About