@aictchangombe_choir: Tunamshukuru Mungu amendelea kututetea katika huduma katika kanisa la AICT Makongoro Mwanza. Asanteni sana kwa kuhudumu pamoja nasi🙏🏾 Unampa neno gani mwongozaji wa wa wimbo huu @Paulseneda #babaumenitetea #aicchangombechoir #tiktokkenya🇰🇪 #nairobitiktokers
AIC CHANG’OMBE CHOIR (CVC)
Region: TZ
Monday 06 April 2026 06:02:51 GMT
Music
Download
Comments
Olly_storetz :
Rangi onpoint ❤️
2026-04-06 17:24:31
10
huruma Shega :
Nyimbo inaitwaje jmn
2026-04-06 14:29:33
6
MUN2 YA WA2 :
Chang’ombe mmeshika vibe, Baba ni wewe umenitetea kweli! 🙌🔥
2026-04-06 07:02:14
10
rich forever :
2026-04-07 07:16:13
2
davow jr :
nataman ata nilike mara buku ❤️❤️❤️❤️
2026-04-06 17:55:09
9
isabella Nehemiah :
ili kanisan lipo wap ??
2026-04-06 12:13:52
1
PDF_98 :
name of the song please
2026-04-06 13:33:42
0
Movic eddo :
leo gold crest pamoto🔥🔥🔥🔥mmetubarik sana mwanza 🥰
2026-04-06 12:36:36
2
neemamasunga811 :
mbalikiwe❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-04-25 16:12:20
1
Maestro Ibrah :
inaitwaje ii
2026-04-15 12:45:57
0
user2932678906072 :
muimbaji tangu zamani sana, napenda kuskiza nyimbo zao zinabariki
2026-04-09 08:38:30
2
Uncle Sam G :
na wapenda kutoka Kenya huu wimbo umenibariki🇰🇪
2026-04-06 22:35:49
2
it's Tinah🙈🙈 :
uncle wang upo busy unachat🥰 nakupenda sana
2026-04-17 20:23:21
1
mariam kasanga :
nyimbo inaitwaje
2026-04-11 08:21:32
0
bintiwabongo :
Nilibarikiwa sana na huu wimbo hiyo j'mapil nilijikuta machozi yanatoka kwa fraha🙏
2026-04-07 09:57:01
3
🙏🙏🙏🙏🙏🙌 :
amène 🙏
2026-04-08 10:48:59
2
GRACE MWANGOMBA :
ameni
2026-04-08 19:06:08
1
Mtumishi Peter :
big up sana baba niwewe barikiwa sn🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-05-09 07:45:18
1
OO ONE💎 :
familia kabisa Paul Mungu aendelee kukupigania kijana wetu🙏
2026-04-07 03:31:37
1
Nagy Party Shop🎉 :
Aisee.. Very touching song..
Baba niwewe umenitetea😭🙌 🙏..
Mungu azidi kuwabariki.
2026-04-07 00:22:34
2
kismet+357🍫 :
this song 🔥🔥
2026-04-07 11:17:18
1
0001 :
jaman I adapt ilipendeza sana
2026-04-09 07:26:03
1
userhappyedward827gmail1 :
wimbo wangu🥰🥰🥰
2026-04-08 12:33:58
1
Mary Mgumba :
barikiwa sana family
2026-04-07 09:46:20
1
Ruben :
chang'ombe choir nawapenda sana,na mzidi kubalikiwa.i'm watching from Burundi🥰
2026-04-06 13:04:48
2
To see more videos from user @aictchangombe_choir, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.