Na sisi tulofiliwa na waume zetu bado tunahitaji kuolewa tena kwa hiyo kumbe hatuna maana hapa duniyani kwasababu tumetumika🥹🥹🥹🥹Alhamdullh mungu akulaze pema peponi mume wangu nisubiri huko,,kwasababu huku tunadhalilika kwasababu ni used🥹
2026-04-06 18:10:07
81
MKASI 47🇹🇿 :
APO UMEFERI SHEH UNATENGA VIUMBE VYA ALLAH🤝🤝🤝..
2026-06-02 01:47:08
2
Amran :
imeniuma wallah lakni sawa
2026-04-06 17:35:29
73
user1847184295167 :
mtume alikuwa malaya tu
2026-04-06 16:39:23
6
Rahul. :
unaitowa wapi hiyo new model?
2026-04-06 14:36:19
28
Azhar12 :
Na Mimi nawakumbusha chengine Musioe Wademu wa TikTok mutanishkuru Baadae🙏 😅
2026-04-07 05:55:04
23
anchayazide2025 :
kwaiyo ss tulio filiwa na waumezetu tukae bila waume kweli shehe unakosea mana sio wote wabaya mana sisi wengine tulifiwa na waumezetu ila siamin ikitokea siku namini nitaolewa inshaallah allah yupo 🥺🥺
2026-04-07 05:04:31
5
rauhiya :
shehe unatukosea ss usde
2026-04-06 20:50:24
10
Love Le :
tatizo.mabinti zetu wanatumika mapema sana
2026-04-06 16:17:54
26
thushbby#001 :
Na mume naye awe new model basii in sha Allah
2026-04-06 19:14:58
13
Mrs N🌹 :
wajane tutaendeleya kutafuta maisha gulf mungu atupe wapeponi inshaallah
2026-04-06 17:32:14
26
zanzibar ❤️ :
mke wa mtume aliempenda zaidi alikuwa bibi khadija alikuwa kishaolewa tayari
2026-04-07 02:22:50
12
zulfath :
ambao tup wali alihamdu lilahi
2026-06-04 10:41:54
0
ukhut aisha :
subuhan alla 😢 sisi wengene tuombe mwisho mwema maana hatuna tena haki yakuolewa 🥹🥹
2026-04-10 12:42:36
6
Rodman :
kwenye comment kila mdada mjane😅
2026-04-06 21:34:03
5
Rajab :
mm nmkubali mtume Muhammad
2026-05-28 14:52:56
1
Husna :
mashaallah
2026-05-22 14:26:43
1
Atsalsule :
sunna ni wajane my friend
2026-04-06 16:33:41
6
Fetty💝 :
subhnallah
2026-05-21 10:22:27
1
❤️Ummy raysam 🥀🦋✨ :
ya rabb nijalie mume wangu awe kama miee bikra sote tuwe wazima amiin❤️😍🙏
2026-04-22 07:45:13
4
Habiba Lifupa :
umekosea sana shekh
2026-05-21 11:32:58
1
Jm :
unapata wapi kwa wakati wetu huuu
2026-05-23 20:58:25
1
صراط الله على :
shehe wacha urongo
2026-04-06 20:07:00
3
Taty :
Mansha'Allah ❤️
2026-04-10 15:19:17
2
nasla33 :
inshallah naitunza mpk niitimize iyo sunah
2026-04-06 18:35:08
2
To see more videos from user @mr_othman_tz, please go to the Tikwm
homepage.