Nina hiyo shida naongea mwenyewe Hadi nalia Dunia hii😭
2026-04-06 11:01:06
58
itstasha_80 :
Nimechoka kufanya kazi,Nimechoka kujhudumia,Nimechoka kupanga mipango ya kila siku,Nimechoka kutunza wengine,Nimechoka kuipambania kesho yangu..najihisi hivyo mwezi sasa🥺💔
2026-04-10 16:18:32
11
Restie ♍♏ :
Napumzikaje???? Unasema nipumzike na kulala siweziiii🥺🥺🥺🥺🥺
2026-04-07 04:19:26
5
scorpioNad🏳 :
jmn ss nifanyajeee
2026-04-22 11:12:47
1
Leyla 😘😘 :
ni mm hyuu
2026-04-07 13:22:58
2
OuWEY🤓 :
hivi utaamini umenishauri nannakutafakari apaapa
2026-04-07 22:08:15
4
iam_angel :
kweli kabisa
2026-04-09 13:51:47
2
vox_#OG🚛 :
2026-04-07 16:06:56
2
Diva🌀 :
ndio mimi jamani natamani kuheal niendelee na mambo mengine mentally and physicaly
2026-06-02 09:29:16
1
Ms..juju😜 :
shinda ni kwamb,naanzaje kupumzika sasa nachoka.
2026-04-06 20:13:22
2
tray :
napumzikajee jamani yaani najiona kabisa nimechoka lakini sitaki kukubali kumpumzika
2026-04-09 18:55:02
2
TEAM KICHECHE :
Nimechoka
2026-04-08 10:43:07
1
.Zouh🤍 :
My current situation 🥺
2026-04-07 19:36:19
1
💞it's Ivy♊ :
unanisaidiaje sasa 😖
2026-04-06 19:01:38
2
0678280249 :
upo sawa broo nikitu nakipitia
2026-04-08 20:38:08
1
Sessy :
huyo ni mimi nachoka kabisa jamani😟
2026-04-07 19:08:17
1
Binax_tz :
I think I should hear this
2026-04-08 15:06:42
1
Polynlove😍 :
Mimi huyu
2026-04-07 06:39:56
1
Yishrake Ateye :
mekuelewaaa
2026-04-06 11:47:14
3
veesalon1 :
This is me totally 🥹
2026-04-06 21:34:42
1
💫KISUNZI MCOAST 💫 :
guys I'm going a lot 😩, ivyo ndio niko nasijui napumzikajeee 😩😩😩😩
2026-04-12 12:50:31
1
#prettyUsher❤️ :
Its ME😳😳jmn ni kama nilishakuelezea jinsi najiisi😳😳
2026-04-06 18:48:42
2
Asmandras 💘 :
Kupumzika kiaje mana am the victim here 🥺
2026-04-06 20:23:05
1
Itsswolly1🍍 :
How do i damn rest ?
2026-04-06 23:33:42
1
To see more videos from user @talkboutitwithconradley, please go to the Tikwm
homepage.