@ndoa.na.urithi: Mmeshindaje? Poleni na majukum Watu wengi wanafikiri ndoa zinaharibika kwa sababu ya matatizo makubwa — lakini ukweli ni huu: 👉 Ndoa nyingi zinakufa kwa vitu vidogo vinavyorudiwa kila siku. • Maneno makali • Kukosa heshima • Kupuuza mwenza • Ego (kiburi) • Kukataa kubadilika Hivi vitu vinaonekana vidogo… lakini vinaumiza moyo polepole mpaka upendo unakufa. Ukweli mchungu ni huu: 👉 Ndoa haihitaji ukamilifu… inahitaji tabia njema. Jifunze kuheshimu. Jifunze kusikiliza. Jifunze kushusha ego. Ndoa nyingi zingesimama hadi leo kama watu wangebadilisha tabia zao, sio wenza wao. Badilika wewe kwanza… ndoa yako itafuata. #ndoa #mahusiano #ndoanaurithi #ndoanurithi #ndoanurithi