@luluwhite272: UNAINGIA KWENYE NDOA MZIMA UNAONDOKA CHIZI 🥹

LULU WHITE
LULU WHITE
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 06 April 2026 13:05:01 GMT
176247
12660
372
751

Music

Download

Comments

mwana155
mwana155 :
Ningepost sema marafiki zangu watanicheka maan walinikataza
2026-04-08 15:01:17
30
bintjafu
Naa🥰🦋 :
Sina rafiki wakumuomba ushaur kuusu mambo yandoa sijui nifanye nn maana hali ninayopitia naitaji msaada kabisa ila Sina pakupata msaada nifanye nn mm
2026-04-08 05:36:00
32
samira.hussein762
👸🦋 :
mimi hadi naongeaga pekeangu Da lulu na kujijibu mwenyewe 🙌😂
2026-04-06 15:44:29
156
da.zuu830
Da Zuu :
ewe mwenyezi Mungu nakuomba unilindie mume wangu maana tangu anioe huu mwaka wa ishirini bado sijaona mapicha wala manegative.
2026-04-07 20:56:12
18
deebanks5671
Marichuy 💞 :
nilishafanya amani na moyo wangu SUALA LA NDOA LIKAE MBALI NA MIMI!!38years now.
2026-04-07 05:06:07
35
lizzbeth640
Elizabeth P. Minja :
ndio maana nakupenda unabaruza ukweli
2026-04-06 14:32:56
66
miyah_.u
إيفاه🐅❤️ :
Mbona unanisema mm jaman 😩🥺😅
2026-04-06 13:43:11
32
miriam_sweetie
miriam makange😘😘🥰🥰 :
yan dada we acha tu
2026-04-06 13:16:06
55
madam.asmah
Aliya_007🥰 :
mbn muna tutisha
2026-04-06 20:45:21
6
norahmichael08
Norahmichael❤️🎧 :
Really
2026-04-18 00:38:18
2
estherlinah0
estherlinah0 :
Sehemu ya voice ya note iko wwp jamn roho inauma mm🥺
2026-05-29 15:24:59
0
user1231141910587
altar :
ndo mana moyo ulikuwa unaenda mbio wakati nimeolewa nimerudi nyumbani babangu anaishi kwa amani sana namfulia nina amani sana, saa nyingine hatujui
2026-04-10 18:15:33
3
lambada4207
baby Mom Tz🦚 :
Kweli mimi Dada nime yaona nipo ndoan lakin🙌 nipo zangu Oman nasaka pesa
2026-04-06 15:51:48
17
hassanmkwama06
Mrs mgaigai :
me nishapata ugonjwa wa moyo
2026-04-07 12:04:14
5
secy_tete
secytete :
ndio hali niliyonayo mm,najuuuutaa😭😭
2026-04-06 19:06:29
6
samweli.wacha
Samweli Wacha :
uku usije
2026-05-01 14:10:31
2
user5016914552085
ma jojo :
mwaaaaaaa da lulu
2026-05-10 14:21:49
1
emmy.salumu
Emmy Salumu :
kabisa
2026-04-09 16:59:54
1
mona_scent
MoNa_Essence💫 :
20/20 twende
2026-04-07 20:11:49
0
shamimhy3
shamimhy :
🥰🥰nakupenda ww dada
2026-04-07 15:33:18
2
asminibrahim0
Babyflower 🌸 🌺 🌹 :
Nachoka mimi😆
2026-04-06 16:05:06
3
user7629531498166
✧益✧Malkia♡♡🫀❤️‍🩹🤝 :
Nilikua nije ila dalulu Asante siji tena
2026-04-28 11:00:03
1
crazygenius19
faith African legacy :
kwani tusikia sasa
2026-05-05 06:25:44
1
vvnooww
Amina BHANGRA KINGORANI :
hanoooo
2026-04-06 14:18:16
4
chiomamamucash
user mamucash💸 :
yaani waolewe tu wayaoneee😅😅😅
2026-04-07 05:30:07
1
To see more videos from user @luluwhite272, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About