@vigourhealth: Cervical incompetence ni hali ya kiafya inayopelekea mimba kutoka mara kwa mara hasa baada ya miezi mitatu ya mimba,hali hii inasababishwa na kulegea kwa misuli ya shingo ya kizazi(cervix) hivo kushindwa kubeba uzito wa mtoto akiwa tumboni na kupelekea mimba kutoka #tibaasili #tiba #asili #tibambadala #tibaasilitibambadala🇹🇿
VIGOUR MEDICS🌿🩺
Region: TZ
Monday 06 April 2026 14:23:10 GMT
Music
Download
Comments
Mrs. Aboubakary♥️♥️ :
🥰🥰nmeupanda nyumban aise umejaa kama wote huwa natumia dawa ya tumbo kumbe unasaidia vitu vingi
2026-04-07 04:14:23
147
Khuzmy Makeup And Hair Saloon :
naomba kuliza unasaidia kw period huu??
2026-04-06 21:04:53
46
Goldengee🦋 :
kashwagalaa🥰
2026-04-07 20:30:12
41
Johary Johary :
PID inatibu doctor
2026-04-14 15:55:26
3
Monica George :
mi silagi nyama msaada ples 🙏
2026-04-10 13:33:38
8
Ⓖⓤⓛⓨ🪷 :
hii ni oregano? imenisaidia sana kwa painful periods 👌
2026-04-06 21:53:20
25
kimsarah57 :
mzugwaaaaa
2026-04-07 22:36:49
27
The Happiness 👑 :
Haya si ndio yale ya kuzuia mimba baada ya tendo!? Kumbe yana kazi nyingi
2026-08-26 11:21:34
1
layla :
I had that issue. Lost the first 2 pregnancies.
2026-04-07 07:37:14
8
Rosekitchen24 :
Ombo
2026-04-08 09:13:52
6
cassandra_e6❤️🦋 :
Hii dawa nzuri sana mno 🙌🏻nnayo hapa nyumbani natumia sana
2026-04-07 12:30:19
10
Hammy 💙👶 :
Nina miezi 9 sasa nikienda hospital njia aijafunguka naomba dawa
2026-07-24 16:36:56
0
@chrissie. :
Ni mchungu huo 🙌
2026-04-07 19:25:13
9
Zyrah ❤️ :
Kaka naomba dawa ya hormonal imbalance nakuomba
2026-04-18 06:02:49
7
Ms.cattie🦋❤️ :
Dawa ya fungus doctor
2026-05-21 09:59:17
1
essencebycath :
Dawa ya PCOS — PLEASE
2026-04-07 09:04:24
6
lengama :
tulio saidiwa na huuu mmea weka like
2026-04-22 12:52:11
11
Reny :
naomba unisaide dawa ya kutoka nyama wakati wa kupupuu nisaidie jamani
2026-08-06 17:54:21
1
Zandy Vian🦒 :
Hii ni antbiotic🙌🏾🙌🏾
2026-04-07 17:51:32
6
Lizzie🌸 :
Makingiii❤️👌
2026-04-07 11:29:55
5
MoMo❤️ :
dawa ya jino nzuriii saaanaaa✌️👌
2026-04-26 21:33:14
1
Skyler Tny :
mzugwaa🥰
2026-05-19 19:23:08
0
IRENE_Stephan :
Bukoba team
2026-04-24 07:52:28
3
shinjogu :
in English inaitwa aje
2026-04-07 17:47:50
4
Nadia 🌺 :
inafanya kazi gani tena boss
2026-04-07 22:26:14
2
To see more videos from user @vigourhealth, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.