mwenyezi mung uwaondolee shida wanawake wote dunian amiiin
2026-04-07 09:28:54
1260
joel.z..💈 :
acha mambo hayo brother ukiamua kumsaidia mtu usingilie dini kaka,
2026-04-07 04:38:25
373
Sakho Outfits :
Weka namba kaka tumchangie mama etu tulicho jaaliwa na mungu 🥹🙏🏼
2026-04-07 03:18:09
338
Megy crazy 🤪 :
SEMA WE MTOTO AKILI HIZI ULIZITOA WAPI NA MUNGU AENDELEE KUKUPA NYINGI ZAIDI
2026-04-06 21:31:24
176
mother's Girl :
MASHA ALLAH 🤲🤲 MAMA ANA SAUTI YAKE BHANA 🥰🥰MUNGU ASIMNYIME RIZIKI YA HALAL
2026-04-07 07:29:33
174
ummul Mulhat :
wallah mtihani .namuhurumia sana Allahbamfanyie wepesi
2026-04-06 21:03:28
113
haji charby😃 :
dah mgongo na mapaja ya mama ndio vitanda vyetu.....Allah watunze,Wareham kwa quran mama ztu pia uwafungulie milage ya rizki mama zetu sote hapa duniani
2026-04-06 21:19:15
157
🦋marry dr@m@ 🇹🇿 :
huruma nimeumia sana😌 mama neno kubwa sana
2026-04-07 04:28:30
37
Neyla :
mungu awalinde..wamamawote
2026-04-07 03:46:00
31
Osah Junior :
kk unafanya kitu kizur Allah akupe kikubwa zaidi
2026-04-07 11:49:27
35
Mohamed abdallahmani Ramia :
fumau Allah akulipe inshallah
2026-04-07 05:49:09
16
zeyjacky2 :
Mother ana sauti nzuri Mwenyezi Mungu amsaidie.
2026-04-07 02:36:54
42
Panyatozy45 :
kam unampend mam gonga like apa
2026-04-22 18:10:02
7
khadija :
allha amperidhik yahalali
2026-04-06 20:24:08
40
user1824628406181 :
EE, MWENYEZI MUNGU WAJALIE WANAWAKE WAPAMBANAJI
2026-04-08 11:51:24
5
ctyamiry :
Msaidie japo kwa ajili wa watoto wanatia HURUMA 😭😭😭
2026-04-07 10:44:55
6
Cathy🍒🦋♥️ :
wanawake wote nawapenda jmn 🥰 n wapambanaj jmn
2026-04-07 19:29:45
7
Malha bae :
MaashaAllah🥰
2026-04-06 22:12:29
6
nasmaa ndunhuru :
mashallah mungu akuripe kaka,,,
2026-04-07 07:35:31
5
Nanah🌹 :
bariki mama zetu wote vipato vyao
2026-04-08 08:49:27
5
Bint ahmad :
iyi imeniliza saaaana wallahi
2026-04-06 23:15:05
7
🥰🥰zai wakulasini ❤️ :
mungu awape wakinamama wote maisha malefu inshallah☺️
2026-04-07 07:58:23
6
LIVI_TOURIST :
Najua Kuna Dem amejilaza kitandani peke yake kazi ni kuscroll tu😂Hi Kamama 🥹🫂 can we be friends 🥰
2026-04-07 12:50:13
14
Nihaabheena :
A,aleykum
ukumbusho sio sahihi kudhihirisha sadaka au msaada wowote ukawa km matangazo
2026-04-07 16:59:02
6
bashiru star 95 :
mungu mpe maisha marefu mama yangu
2026-04-07 06:05:20
6
To see more videos from user @fumau_bin_mjeje, please go to the Tikwm
homepage.