@mozannah: Assalam alaykum guyyss🩷😍tumewarahisishia maisha kwa kuleta hizi garlic paste. Mtake nini tena😍Recipe mnapata na paste mnapata pia 😜 Zipo paste aina 3 . 1: 🧄garlic plain- hii ni vitunguu thom tuu 2: 🧄🫚Garlic & ginger - hii ni thom na tangawizi 3: 🧄🫚🍀-Green magic paste- hii ina thom , tangawizi na kotmiri Utapata unachokihitaji mteja 😍😍😍Paste zimetengenezwa kwa usafi wa hali ya juuu Na hazina maji unapata paste fresh na nzito😜 Na zote bei moja gram 350 kwa tsh8000 tuuu na kilo 1-24000 🩷 Napatikana Dar- chan'gombe dyccc hall Ukitaka hata mkoani unatumiwa kwa gharama zako mteja Unaweza kunidm au watsp number -#0692515660 Karibu sanaaaa😍