@sh1ro.11: #foryou #๐ŸŽ #mashallah #foryoupage #rasty_lak

Bแดฌแดธแดฌแดทแดต๐Ÿ†
Bแดฌแดธแดฌแดทแดต๐Ÿ†
Open In TikTok:
Region: IQ
Monday 06 April 2026 21:13:57 GMT
72066
2967
3
470

Music

Download

Comments

To see more videos from user @sh1ro.11, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Hizi ni aya mbili ambazo ndani yake ni jina la Mwenyezi Mungu ambalo hilo huwainua watu ,na kuwafanya wengine kuwa dhalili na huwapa anaowataka na anawanyima anaowataka ikiwa utafahamu siri ya jina (ู…ุงู„ูƒ ุงู„ู…ู„ูƒ) jumla ni 212 katika jina hili basi umefahamu namna ya Allah kukuinua katika mambo yako (cheo, mali kwa kadri apendavyo yeye ) ila husomwa mara 40 kwa siri ya herufu ู…  katika jina hili (ู…ุงู„ูƒ ุงู„ู…ู„ูƒ) asubuhi na jioni inakuwa ni 80 unakuwa umezitaja herufi ู…  mbili zilizopo katika jina hili adwiim kabisa ikiwa utaufanya kama uradi asubuhi na jioni mara 40 asubuhi kabla ya jua kuchomoza na jioni kabla ya jua kuzama utaona kheri na baraka kubwa katika mambo yako yote biidhinillah nazo ni  ู‚ูู„ู ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ูู…ู‘ูŽ ู…ูฐู„ููƒูŽ ุงู„ู…ูู„ูƒู ุชูุคุชูู‰ ุงู„ู…ูู„ูƒูŽ ู…ูŽู† ุชูŽุดุงุกู ูˆูŽุชูŽู†ุฒูุนู ุงู„ู…ูู„ูƒูŽ ู…ูู…ู‘ูŽู† ุชูŽุดุงุกู ูˆูŽุชูุนูุฒู‘ู ู…ูŽู† ุชูŽุดุงุกู ูˆูŽุชูุฐูู„ู‘ู ู…ูŽู† ุชูŽุดุงุกู ุจููŠูŽุฏููƒูŽ ุงู„ุฎูŽูŠุฑู ุฅูู†ู‘ูŽูƒูŽ ุนูŽู„ู‰ูฐ ูƒูู„ู‘ู ุดูŽูŠุกู ู‚ูŽุฏูŠุฑูŒ ุชูˆู„ูุฌู ุงู„ู‘ูŽูŠู„ูŽ ููู‰ ุงู„ู†ู‘ูŽู‡ุงุฑู ูˆูŽุชูˆู„ูุฌู ุงู„ู†ู‘ูŽู‡ุงุฑูŽ ููู‰ ุงู„ู‘ูŽูŠู„ู ูˆูŽุชูุฎุฑูุฌู ุงู„ุญูŽู‰ู‘ูŽ ู…ูู†ูŽ ุงู„ู…ูŽูŠู‘ูุชู ูˆูŽุชูุฎุฑูุฌู ุงู„ู…ูŽูŠู‘ูุชูŽ ู…ูู†ูŽ ุงู„ุญูŽู‰ู‘ู ูˆูŽุชูŽุฑุฒูู‚ู ู…ูŽู† ุชูŽุดุงุกู ุจูุบูŽูŠุฑู ุญูุณุงุจู  Ukichunguza nikuwa herufi ู…  ambaye ndio kiongozi wa jina hili ametokea mara 10 katika aya kwanza na.mara 5 katika aya ya pili ambayo ni nusu yake ukijumlisha ni 15  zikiwa herufi ู…  15 zinakuwa ni idadi ya 600 (15ร—40) ukisoma  jina hili unakuwa umegusa funguo halisi yajina hili mara 600 na ikiwa utaomba kuondoshewa ufakiri Allah atakuondoshea ,ikiwa umeomba cheo Allah atakujaalia na ikiwa umeomba mali Allah atakujaalia kwa sababu umefungua mlango wa hazina zake za mbinguni na ardhini na umegonga katika mlango makhsusi na kufungua kwa funguo yake

About