@juma_misosi: Natoa ONYO KALI na TAHADHARI usitumie hii recipe kwa WAUME ZA WATU 🔥🙌🤣. Ila kama unataka ndoa kaa chini chukua maujuzi ukampikie huyo muhalifu mwenzio🤣🤣. Mahitaji Maziwa Mafuta ya kula Essence yyt unayoipenda ( eg. vanilla) Trending recipe kwa sasa ni TAMU YA JUMAS KITCHEN #jumaskitchen #heavymilkcreamrecipe #lunch #cooking_is_an_art #fyp
juma_misosi
Region: TZ
Monday 06 April 2026 21:20:01 GMT
Music
Download
Comments
Aggy🦋🍫 :
unapikia kwenye vyakula gani
2026-04-06 23:28:57
10
Habiba 💜♐️ :
vitu vyako viko unique
2026-04-07 06:38:38
10
Khadija Uledi465 :
maziwa na mafuta ni kiasi gani
2026-04-07 04:29:19
5
DarDar :
Hiyo ndio inaotwa cooking cream au?
2026-05-25 15:14:14
0
Yundu Gal🌹♥️ :
Ngoja nikufollow ila nikiuliza naomba uwe unajibu tuu napenda kuuliza
2026-04-07 08:13:03
7
Namuza💕 :
Nikufollow unakitu mwanetu🥰🥰🥰
2026-04-16 05:49:00
1
Aythar Beauty💃 :
Kaka samahan nimesave hii video mda sana naomb kuuliza mafuta lazima korie au yoyote
2026-05-09 06:12:09
1
Emmy Massawe :
mtindi au fresh?
2026-04-10 08:20:26
1
teddy bear :
nmekufollow
2026-04-08 13:37:03
3
Miami Online🇹🇿 :
Hivi naweza kuongeza kitunguu swaum na cotmir🥹
2026-04-17 12:39:42
1
Udnah :
Sor maziwa ni mtindi ?
2026-04-10 13:23:44
2
Annastazia Teckson :
Safiiii
2026-04-23 07:32:06
1
Hella :
:hio cream utaweka kwa frigde ikibaki?
2026-04-08 16:43:14
1
timeh janja :
mwanetu Leo nimepata
2026-04-12 13:06:48
1
Husna :
Nmeona nkufollow 🥰
2026-04-07 15:29:36
2
Mama tee :
Haiaribiki
2026-04-08 18:25:28
1
Yundu Gal🌹♥️ :
Emu upike chakula uweke hii kitu nione sasa
2026-04-07 08:14:13
5
Hella :
what about ndizi?
2026-04-08 16:42:14
1
Z a y n a b🌺 :
hii ndo wanaita condenser milk au sio hii
2026-04-23 11:38:41
2
am happy :
samahan hio unatumia wap
2026-04-08 13:34:47
0
khazher :
kwaio kweny chapati za maji unaweka
2026-04-09 13:05:56
1
Icky's kitchen 🇹🇿 :
Vanilla ?
2026-04-07 17:22:33
1
Chammy✝️💕 :
ATI naomba kuuliza
is it better butter or cooking oil.
2026-04-08 21:30:02
2
user2465807980332 :
inawezekana kutengeneza nyingi alaf niifazi kwenye friji nikiwa napika niwe naitumia?
2026-04-23 11:26:38
1
Raddu_Afri :
Why vanilla essence kwa vyakula vya michuzi, I thought ni dessert tu
2026-04-14 09:39:20
1
To see more videos from user @juma_misosi, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.