Huenda siku moja nisiwepo hapa, lakini maoni yangu yataendelea kuwepo, na vizazi vijavyo vitayasoma. Hivyo nashuhudia kwamba hakuna mungu anayestahiki kuabudiwa isipokuwa Allah, na Mtume Muhammad (rehema na amani ziwe juu yake) ni mjumbe wa Allah ❤️. Yeyote atakayesoma hili, tafadhali uwe shahidi wangu Siku ambayo tutasimamishwa mbele ya Mola wetu. In shaa Allah. Mwenyezi Mungu atusamehe madhambi yetu, Ameen.”
2026-04-08 19:40:54
64
user98258740559766 :
Huyu Sheikh, ajaaliwe sana na Allah ampe makaz mema
2026-04-07 18:29:44
66
razuk :
ALLAHUMMA GHFIRLAHU WARHAMHU WASKANHU FIL JANNAH
2026-05-04 06:38:01
9
hamadi omari :
allah amrehem shekhe bachu
2026-04-08 04:59:13
12
Salim bin saidy :
hiki chuma Nakielwwa sana Allah amlipe kila jena
2026-04-08 17:20:48
25
dr mackintyre :
allahumma ighfirlahu warhamhu
2026-04-08 07:38:17
25
🦋مريم🧕 :
Allah amrehemu sheikh wetu🤲
2026-05-04 11:36:51
3
Janat :
Allahumma Salli Alaa Sayidinna Muhammad wa Alaa Aali Sayidinna Muhammad wa Barik wa Sallam