@watu_kenya: Kwa wengi, kuown boda sio tu kuhusu chombo, ni freedom ya kujisimamia, kuingiza doo kila siku, na kusupport familia. Kila journey iko tofauti, but kitu inafanana ni step ya kuanza. Kwa Watu, tunaelewa hii journey. Ndiyo maana tunafocus kwa kukusaidia upate access ya bike na support yenye inakusaidia kusonga mbele step by step. Si tu kuanza, but kuendelea. Kama umekuwa ukifikiria kushika yako, hii ndio time ya kuchukua step ya kwanza. 💬 WhatsApp 0757 555 111 Ongea na sisi ujue vile unaweza own boda yako na uanze kujibuild, siku moja at a time. #Watu4Watu
Watu Kenya
Region: KE
Tuesday 07 April 2026 08:35:57 GMT
Music
Download
Comments
nelson :
I took my tuktuk with them. all they do incase you delay, they only add a little interest. lakini hutaskia repossession.
they are just nice.
2026-04-09 12:57:41
0
JB :
motorbike inatoka na deposit ya ngapi
2026-04-13 04:20:22
2
Salim aziz :
big up to this company best one ever
2026-04-15 07:13:55
0
Felix painter :
watu credit i salute you guys
2026-04-15 18:21:41
0
BABA GRAYSON :
watu wako sawa sana ata Mimi nimechukua leo
2026-04-08 19:59:34
1
wanaruona.kiunyu :
WATU helloo,,,,can i be paying monthly kindly?????
2026-04-16 06:37:57
0
peter Anami :
nifate procedure gani nami nipate
2026-04-15 23:24:39
0
Nicholas 🇰🇪🇰🇪🫣 :
do you have. electric bike
2026-04-12 06:10:38
0
user942017119825 :
napenda sana huduma ya watu
2026-04-16 15:01:35
0
milly 001 :
my besty, my besty
2026-04-18 06:36:01
0
Dominic Nyamasyo :
you make me great 🥰
2026-04-16 14:02:15
1
brian lecrae :
I also recommend this company i took a bike with them back in 2020 and paid off within 8 months last year a phone with them
2026-04-09 04:02:28
0
The red Tugen❤ :
yangu ni lockbook only
2026-04-17 17:34:44
0
Muruga Modern Funitures :
you are good watu for watu
2026-04-15 18:45:01
0
shiro kuria :
watu wako sawa sana nilichukua simu nimelipa mwaka na nusu haijawahi nisumbua asante sana watu
2026-04-15 11:36:37
1
julius mutuku :
salute to watu kwanza kuna mjamaa anaitwa ken machakos na rogger hapo msa road karibu gm nawatambua
2026-04-12 10:04:45
0
Monk of Mayhem :
lazima mngefanyia content kwa kivuli
2026-04-15 19:08:36
0
davy :
dipost n gapy sai
2026-04-07 16:52:57
0
pinchez :
watu mko poa
2026-04-09 21:51:13
0
amad felix :
watu wazuri
2026-04-15 19:27:44
0
Mum twins boys 🥰 :
ebu sema deposit
2026-04-16 22:42:02
0
Peter Njoroge :
we uliza watu thika
2026-04-15 19:20:19
0
joshua ke@ 25721 :
wantam siku zote
2026-04-16 10:32:44
0
zackrider638 :
Watu ni sisi na sisi ni watu
2026-04-18 18:11:15
0
Nyamiaka254 :
Due to experience Watu credit wako Sawa provided communication iko Sawa ......
2026-04-07 18:21:04
0
To see more videos from user @watu_kenya, please go to the Tikwm
homepage.