@itsdefiner: Verse two ya Nafasi nambie ni mstari gani umekuvutia zaidi 🤗... NAFASI inapatikana katika all digital platforms #definernafasi #definer #bongofleva #makemefamous #tiktoktanzania🇹🇿
Anko unajua sana mungu afungue tu milango ya baraka
2026-04-07 15:57:31
20
F.dady09 :
brother you are talented if you remember me ndo man tulikutana kwa mama zungu food point niko na ngoma zako kama ile Niko sawa
2026-04-07 16:23:09
0
Babacita 🌏 :
Kizuri kila sentence waga unaijazia umeme 😁🔥🔥
2026-04-07 16:09:40
9
𝓜𝓪𝓳𝓮𝓮𝓭_𝓦𝓸𝓻𝓵𝓭 :
Na kama hawatakupa support kwa kukupatia collabs bc force andikia wasanii ambao unahic unaweza kuwafikia na wakakuskiliza uza verses kwanza watakuamini en someday watakukubali tu wasanii wengi wameanzia huko kaka!!’ Keep it up u are so real🙌🏽
2026-04-07 19:36:33
9
okapi :
Big up my brother
2026-06-01 17:20:49
0
ngida m 5 :
nyimbo zako zimeludisha penzi langu unaweza asante
2026-08-28 00:42:19
0
BABA ALMASI :
shabiki kutoka KENYA....MASHAIRI MAZURI SANA!..MELODY TAMU PIA KAZA BRO UNAWEZA!
2026-06-06 06:17:15
0
jamukayafundi :
we jamaaa keep pushing...unajua mzeee
2026-04-07 15:48:29
0
G breezy :
Fundi wa muda wote🔥 dfiner # g breezy hapa
2026-06-16 07:13:27
0
Kany97@# :
Kaka naomba collabo
2026-06-24 00:58:20
0
pilo mc🎤🎧🇹🇿 :
unajuwaa kaka
2026-06-11 17:49:03
0
tilly ~Maah♍️ :
Verse twoo ase👌🥰🥰
2026-04-07 17:09:20
0
Miss🧕Chumu💋🥰chaupole🧕🦋✨ :
Oyaa Asant ww😁🤣😂 naniii ntananiii nanani nyie 😁😁
2026-04-08 05:54:00
0
deni🤑🥷 saque 🌟 :
m😏
2026-04-07 21:17:02
1
ALPHA 🐺 :
Nakuona mbali usichoke🙌✅️
2026-04-08 04:56:41
1
davy167 :
wa nane kucoment ..nyimbo kali✌️
2026-04-07 16:02:55
1
NENO PEVU🪦 :
nakubal man on the air 💪
2026-04-07 15:28:12
0
Babu salu :
nakubali jasusi
2026-04-08 05:52:28
1
Falcon kidd :
big up kak
2026-05-23 16:16:13
0
Shivo Salum :
unajua kk
2026-05-22 20:45:52
0
msafi code :
unajua kijana
2026-05-24 18:52:52
0
AFRICANO MELODY :
Nirudie bs unipe nafasi me u single siwezi 😂
2026-08-15 16:23:02
0
MORGAN⚡ :
nakubali sana ngoma yako ya usichoke kaka ile noma sana 🥰
2026-06-12 13:36:20
0
ℭ𝔥𝔯𝔦𝔰s☔️☔️✅️ :
sana bro🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2026-05-20 09:04:54
1
Onny☠️ Designer 👖👕🧢 :
Sa naniii nitafanya na nani?
2026-04-07 16:17:06
0
To see more videos from user @itsdefiner, please go to the Tikwm
homepage.