@mkongolee: Asa Mtu asicheke na mambo yake 😂😂😂😂😂

Jitu Jeusi
Jitu Jeusi
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 07 April 2026 15:28:55 GMT
368735
30544
1290
347

Music

Download

Comments

enfridamanyama1
enfridayombo :
😅😅😅😅ila we n chizi nam nipo kucheka bila sababu hadi nimelia
2026-04-07 15:55:56
535
bintsichone
Binti sichone🇹🇿 :
Kwan me nacheka nn jamn 😂😂😂😂
2026-04-07 17:33:23
88
farry426
farry426 :
Aaaah Iyo mbaya iyooo 😂😂😂😂😂
2026-04-07 16:26:19
45
ratipha.mbaraka
tiffah💞💞 .TZ. :
wengine ata tufanyej kapata like 50 miezi 2 ila wengine kucheka tu like 1,020 daah tupendane tu jamani
2026-05-31 20:10:11
37
ricy968
💕🥰ricy🥰💕 :
😂😂😂😂😂😂😂😂 anyway tunacheka nn kwanza😅
2026-05-30 07:43:08
21
richengineer8
Rich Engineer Auto Spare🤝🛠️ :
Ila we mwanetu jau sanaaa😂😂😂😂🙌🙌🙌
2026-04-09 06:23:38
9
abbah.kidd4
ABBAH KIDD.⛎ :
😂 kaka tukikuwah unaponah 😂😂😂
2026-04-07 16:12:47
5
ashiraf_tz
ASHIRAFU_TZ🌀💥 :
mutu akilike comment yangu tunagombana😅
2026-04-09 18:48:32
9
manela_barbershop
manela_barbershop :
ila mwanangu unazingua Yani nimejikuta nacheka alaf sijui nacheka nn🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-06-17 18:33:11
12
azida.abdul.msofe
azida Abdul Msofe :
😂😂😂we mwendawazim eti nimecheka
2026-04-07 16:20:21
6
blessing.wisdom74
Blessing wisdom :
apa ata sijui na Mimi nacheka nini jamani😂😂😂😂
2026-04-08 07:26:23
5
dama81093
dama :
😂😂😂sasa mm ni kiulizwa nita sema nacheka nn
2026-04-08 07:24:28
5
bitte83
♥️Annah J🥰😍 :
daah ila jitu 😂😂 kweli ety umenifanya nmecheka bila sababu jmn 😃😃
2026-04-08 08:55:07
13
judithnyalal
Judith Nyalal :
mungu akupe maisha marefu kakaang furaha yako idum siku zote
2026-04-09 16:36:43
5
lemacoo
ronald jayrus :
nikiulizwa nacheka nini sina majibu
2026-04-07 16:59:14
17
jjty_ggyy
CHIEF SHADIDU⭐️⭐️🌙 :
dah mwanang unakaa na furaha mda wote salute
2026-05-04 13:12:16
6
lost_boy_dmv.21
Lo$t boy☠️ :
we jamaa jau sana ya nlikuwa nmenuna one nacheka afu sababu siijui😇
2026-04-07 16:25:03
16
alma19576
sp :
asa na me nacheka nini jaman 🤣😂😂😂
2026-04-07 15:54:36
11
veronica.gabuge
Veronica Gabuge :
yani nimechoka kukaa zanzibar 😌
2026-04-07 16:35:19
31
beatrice.ngimba
Beatrice Ngimba :
sasa mbona tunacheka wote😂😂😂😂😂 sijui unacheka nn lakin na mm naungana na ww
2026-04-22 09:01:04
5
yuzzodaddie
Daddie👑 :
😅😅😅✌️jitu kam jitu🔥
2026-04-07 15:31:11
7
taiba.ally
TAEVA SHOES 👣👠👡🛍 :
mpk na me nimecheka wakati namaumivu ya kuachwa bila sababu
2026-04-09 20:10:26
8
christopher.manye1
Christopher Manyerere :
njooo umcheke mama mmkwe wangu😂😂
2026-07-05 06:45:19
0
mackrinakapinga21
mackrina :
sijuii nacheka nn na mm 😅😅😅😂😂😂😂🤣
2026-06-22 09:01:18
3
To see more videos from user @mkongolee, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About