Aisee nimechelewa kukuona ,nimeshapigwa Gari inaonyesha kilometres elfu 57 kumbe inspection ilikuwa na kilometre laki 2 na 10
2026-04-08 12:31:49
0
Jonathan :
Langu lina 73609km ila Japan lilikuwa na 167244km uwiiiiiiii😳😳😳😳😳😳
2026-04-10 01:59:20
1
️ :
Nimekufollow. Thanks km zilizokuja ndo zilizopo kwenye mfumo online
2026-05-22 10:21:17
0
Chuse 360 :
ubarikiwe
2026-05-12 01:06:06
0
sam kyando :
Tupeni mawasiliano
2026-04-08 04:24:59
1
morice kisesa :
ngoj nikufollow
2026-04-08 01:24:43
1
NGUO NA VIATU IRINGA :
je kwa gari za kutoka Singapore kuna ukaguzi unaofanyika huko hata kwa kampuni private?
2026-05-13 13:54:47
0
' :
Niwqpe na hii, gari kwa wastani inatembea Kilomita 20,000 kwa mwaka huko Japan au Ulaya. Sasa Gari ya mwaka 2010 ukiinunua 2026 maana yake ni miaka 16 sawa na Kilomita 180,000 wastan. sasa ukiona unaambiwa kilomita 58,000 sijui 65,000 jua unapigwa kama hamna Karatasi za ukaguzi.
2026-04-09 08:37:25
0
Daniel Mallongo :
na kwa magar makubw kutoka ulaya unakanguaje.?
2026-04-08 05:52:37
0
bajabiri :
sasa kwa gari ambazo no tranist zinafanyiwa inspection final destination inakuwaje
2026-05-11 11:06:45
0
JR Senior G :
Nimejaribu ila inandika gov-portal.eaa-system.net. Say no result @agizamagarijapan
2026-05-08 09:23:50
0
Joseph Joackim Mongi 🇹🇿 :
@Gustaf Mbemba sio poa
2026-04-08 18:23:54
2
Cleaning solution :
😁😁😁
2026-05-08 04:05:46
0
To see more videos from user @agiza_gari_japan, please go to the Tikwm
homepage.