@shabani_rapwi: Somo anatakiwa kuwa kama huyu sasa wale wengine sijui 'manini matatu' mara mwanamke usikae kinyonge tupa kule chombo hiki hapa Mwali asipoelewa hapa ndo atakuwa amefeli kwenye hii ndoa yake mazima kabisa. #trendingreel #trending #viralvideo #trendingnow #trendingvideo #trendingpost #ᴛʀᴇɴᴅɪɴɢʀᴇᴇʟs #trendingreelsvideo #SRSportsUPDATES #trendingreels #tanzaniatiktok #tranding #TanzaniaTrending #viral #trendingpostchallenge #trend #fblifestylechallenge #Trending
Shabani Rapwi
Region: TZ
Tuesday 07 April 2026 17:29:42 GMT
Music
Download
Comments
shamy de💞 la'aziiz ❣️ :
mashaallah somo Allah akupe maisha marefu 🥰🥰🥰
2026-04-08 04:51:17
142
CJN 🇦🇷 :
somo nimepata bado mume🥰
2026-04-08 07:36:01
54
Salma :
Asante sana kumsih mwali kuzingatia ibada jaman waislamu swalah, waislamu tawheed
2026-04-08 04:34:55
144
lenny💋 :
Somo of the year Maashallah 🥰
2026-04-08 06:53:11
17
mrs💞yussuph💕 :
mashaallah somo mungu akupe kher inshaallah mpk siku ya umaut wak
2026-06-06 11:14:02
1
Dr maryam Rashidi. :
MashaaAllah. Somo wote wangekuwa kama huyu. Ndoa zingedumu milele.
2026-04-08 10:06:43
22
cresha :
mashallh m.mungu amuweke somo
2026-04-08 03:50:24
16
Nimraty Hassan :
MashaaAlla somo
2026-04-08 09:47:54
7
Husna Husna :
nimekupenda sana kwa ajili ya mwenyezi Mungu 🥰
2026-04-08 09:48:03
5
Husna Omary :
mashaAllah ujumbe nzur
2026-04-07 19:15:35
7
قلبي 🫀 روحي ❤️ :
Bismillah Mashallah Mashallah ❤️Ajengewe Sanam HUYU Ukhty
2026-04-08 05:58:10
35
bindo :
mashallah somo nimempend wallah mn mungu amemtanguliza kuliko mapenz
2026-04-08 03:23:11
13
Hajrasadiki :
Naomba anayemjua huyu SOMO naomba aniambie jaman nina jambo nae,maashallah Allah azid kumweka
2026-04-09 10:02:31
13
Um Jamal :
mashaallah Mashaallah Mashaallah mama uko wapi jamani
2026-04-08 11:06:45
8
Amina akida kondogwa :
mashallha som nimekupenda natamani namm pia
2026-04-28 06:15:20
8
Fadhiruna :
mashallaah kungwi nimekupend buree mama natamam na mm jmn
2026-04-29 16:38:27
7
fatmaali569 :
mashaallah tabarak Rahman
2026-04-08 18:06:30
6
Fatma vota 🦋💕 :
wa mama wa hivi nawapendaga sana ❤️ALLAH awatunze
2026-04-09 12:20:16
6
user14448040567522 :
mashallhaaa
2026-04-30 05:03:41
0
user4207943452069 :
mashallaah
2026-04-25 04:21:27
0
Its’Zuh :
Mashaallah somo nimempenda 🥰
2026-04-30 18:01:09
4
Awena ❤️😘 :
Mashallah ❤️❤️❤️
2026-04-13 04:55:24
0
Kulz40 :
Ma sha Allah.
2026-04-29 17:51:26
2
sheyma :
masha allah
2026-04-08 10:01:54
2
ny@nybu :
maashaalla maashaalla
2026-04-08 09:54:04
3
To see more videos from user @shabani_rapwi, please go to the Tikwm
homepage.