@afya.kinywa: Replying to @user48716812916870 🦷 Meno ya njano yanasababishwa na: 🟡 Uchafu (tartar) 🟡 Kahawa, chai, au sigara 🟡 Uzee wa kawaida 🟡 Usafi wa kutosha (kusafisha kwa haraka haraka) 🟡 Rangi ya asili ya meno (kwa wengine ni kawaida) 🟡 Dawa fulani zilizotumika utotoni 🟡 Maji yenye fluoride nyingi #afyakinywa #drmac #learnontiktok #ushauri #matibabu @nice

Dr. Mac I Afya Kinywa TZ 🇹🇿
Dr. Mac I Afya Kinywa TZ 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 07 April 2026 17:31:02 GMT
2422
26
6
1

Music

Download

Comments

afya.kinywa
Dr. Mac I Afya Kinywa TZ 🇹🇿 :
🦷 Meno ya njano yanasababishwa na: 🟡 Uchafu (tartar) 🟡 Kahawa, chai, au sigara 🟡 Uzee wa kawaida 🟡 Usafi wa kutosha (kusafisha kwa haraka haraka) 🟡 Rangi ya asili ya meno (kwa wengine ni kawaida) 🟡 Dawa fulani zilizotumika utotoni 🟡 Maji yenye fluoride nyingi
2026-04-07 18:40:38
0
user48716812916870
nice :
mbona ujanijibu
2026-04-07 18:18:34
0
To see more videos from user @afya.kinywa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About