@katorotv: Baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano kwa muda wa wiki mbili, #Iran imetangaza kufungua Mlango Bahari wa #Hormuz ili kuruhusu meli za kusafirisha mafuta kupita katika njia hiyo muhimu ya kimataifa, hatua inayolenga kupunguza mvutano wa kiusalama na kiuchumi katika eneo la Ghuba ya #Uajemi. Taarifa hiyo imeripotiwa na kituo cha televisheni cha Al #Jazeera, kikieleza kuwa uamuzi huo unafuatia kauli ya Rais wa Marekani Donald #Trump aliyesema mashambulizi dhidi ya Iran yatasitishwa endapo njia hiyo itafunguliwa kikamilifu, haraka na kwa usalama. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas #Araghchi, amethibitisha kuwa usafirishaji wa mafuta kupitia Mlango wa Hormuz utaendelea kwa kipindi hicho cha wiki mbili kwa kushirikiana na vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo. Aidha, ameishukuru #Pakistan kwa juhudi zake za kidiplomasia zilizopelekea kufikiwa kwa makubaliano ya kusitisha vita.

KATORO TV
KATORO TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 08 April 2026 08:44:25 GMT
1170272
29393
210
1836

Music

Download

Comments

furaha.kombi.roset
Furaha Kombi rosette🍰 :
Mungu asifiwe
2026-04-08 13:46:33
88
kotapin_
Kotapin master :
Asante Mwenyezi Mungu 🙏
2026-04-08 10:28:41
74
user33129567124623
jeni mssa :
asnt mungu
2026-04-09 14:31:28
14
user32994188834723
omar90077 :
kweli ww uong
2026-04-08 10:08:01
14
yuleboy.gd
YULEBOY :
40/40
2026-04-09 09:42:37
7
valentina14474
PELICE🎶 :
nimeskia maombi yenu wanangu🥺
2026-04-10 14:04:41
3
arianniemercy
Emiliana jonathan :
mungu mwema kwa kila jambo🥰
2026-04-08 12:29:07
10
joycebaby597
Joycebaby :
Asante mungu aman irejee amina
2026-04-09 09:01:34
9
user9330913972752
happy :
bola iishe kabisa hiii vita mungu asaidie na iwe hivoo mweee
2026-04-08 14:32:51
8
heritie208
Heritie :
asante mungu
2026-04-08 14:39:56
0
happiness.john837
Happiness John :
asante mungu baba
2026-04-09 12:53:26
4
dorcasthadei3
doris nyanda :
eeee mungu asante
2026-04-11 09:28:26
2
bakarihemed849
YAA DHALQUWATIL MATIN :
Allah sw Awakubali ila Marejani Aache Ubabe hii Dunia Wote tumeletwa na Mwenyezi Mungu Kwa Lengo Moja tu
2026-04-09 12:45:26
5
khamisa483
Khamisa :
alhamdulilah
2026-04-09 12:21:56
0
telepista
user2608636581840 :
asate mungu🙏
2026-04-08 11:29:56
5
kinglembris39
king lembris39 :
🙏🙏🙏ahsante mungu wangu
2026-05-17 08:20:28
1
elia.mwanapunda
elia mwanapunda +255784182002 :
sawa sawa
2026-04-09 16:20:31
2
edy.black47
Edy Black :
Asante mungu
2026-04-08 12:23:29
6
esta1782
esta12 :
mungu Asante
2026-04-08 14:35:51
2
ameenatanzania
ameenatanzania :
Allahmdulillah 🙏🙏
2026-04-08 15:44:45
1
user1935888114696
Restituta fulgence :
AMEN
2026-04-09 08:56:09
1
michaelkalume565
michaelkalume565 :
amen 🙏🙏
2026-04-09 08:08:56
0
user8408767441681
Happy :
asante mungu
2026-04-08 13:47:24
4
said.maulid95
said maulid :
Asnte mungu mana daah aliy irikuwa mbaya
2026-05-13 20:05:28
1
teresiamakunja
teresiamakunja :
Asante mungu
2026-04-08 13:46:54
0
To see more videos from user @katorotv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About