Ukweli kabisa, kwa hakika tukiyasikiliza maneno mabaya ambayo watu wanatusema na kuyaweka moyoni yatachangia kuwa mlegevu kwenye imani na kukufanya uwe mlegevu kutimiza ndoto zako za maisha. Tutie tu bidii na tumueke Mungu mbele ipo siku atatumia bidii yako kukufungulia lango litakalo kupa jibu kwa kila tamanio ulilokuwa nalo. 🙏🙏🙏
2026-04-18 21:12:51
1
phestus kun Bosco :
amen 🙏🙏
2026-04-19 15:28:25
1
ABISAI YUSUPH SILANGA :
amen
2026-04-17 08:42:13
0
Rogers Minja :
sema wasikie Baba
2026-04-15 04:22:01
0
ALMASI MWITA :
🥰🥰🥰
2026-04-08 11:45:35
2
KIHOBWA MEDIA TZ :
😳😳😳
2026-04-08 11:56:06
2
mr nice man :
😁😁😁
2026-05-04 18:20:51
0
MONGO FELICIEN ABRAHAM :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🇨🇩🇨🇩
2026-04-14 09:54:48
0
mam-kalunde :
🤔🤔🤔🤔🤔🤔
2026-04-14 05:57:17
0
Mack Zeluvu :
🙏🙏🤛
2026-04-09 16:30:28
0
Iddy Mashaul :
😳😳😳
2026-04-15 09:10:25
0
To see more videos from user @kelvinbahati6, please go to the Tikwm
homepage.