@engineer_mjenzi_tz: Wapenzi wa 2-bedroom, hii ni fursa yenu ya kipekee! 🏡 Furahia nafasi ya kutosha, faragha ya hali ya juu na muonekano wa kisasa uliobuniwa kuendana na maisha ya halisia na ya kisasa. ✔️ Ubora wa hali ya juu ✔️ Muonekano wa kuvutia 📞 Wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi na kupanga site visit Tupigie 0622602703
Twende_mjengoni
Region: TZ
Wednesday 08 April 2026 12:43:20 GMT
Music
Download
Comments
Janeth Jones🦋🦋 :
Ukowapi
2026-06-30 14:51:41
0
mamaake triple S😘 :
kwa kweli kajumba katamu,hongera sana
2026-04-09 18:50:00
8
aminasalehaminasa :
mungu akufungulie ridhiki kaka kazi nzr maishallah
2026-04-10 04:40:42
7
mamake sky 🥰 :
how much
2026-06-15 04:47:14
0
Victoria Mushi :
mnapatikana wapi
2026-07-01 15:09:31
0
Roja Shop :
npe hesabu zake mkuu nyumba npate na mim nyumbaa
2026-04-17 18:41:58
0
salma omar22 :
ndani je
2026-06-14 09:24:19
0
Aishakhamisi :
mashallah
2026-04-14 15:47:57
1
Binti K :
kiwanja kiko tambarare .. material.na gharama zake je zipoje
2026-04-11 09:10:45
1
tiphany :
mahitaji mpk gharama za ufundi jumla sh ngapi boss
2026-04-09 08:18:10
4
Jane Mollel :
hadi ifikie hatua iyo bei gani
2026-06-14 16:38:00
1
Anna John :
gharama zake zikoje hadi kufikia hapo?kiukweli ni nyumba nzuri sana
2026-04-09 22:21:32
1
dogo shaah :
naomba ramani yake
2026-04-09 08:22:52
1
user9525203798020ma rose :
kaka samhn unaweza nsaidia ramani ya vyumba 3 smhn lkn
2026-04-09 12:11:39
1
@ckujua00 :
mpaka kufika hapo ufundi bei gn
2026-04-08 20:44:22
0
Khadija Shosi :
daaah mung nisaidie n me nifike apoo😔😔
2026-04-10 16:30:28
2
haroub binkhatour :
zanzibar mnafika
2026-04-11 05:07:38
1
gShufaa Eid Odhuman :
masha Allah
2026-04-09 18:43:54
1
Mir🔥 so :
mko wapi
2026-06-09 20:52:54
0
kauthar :
kweli nikitam😋😋👌
2026-05-28 19:55:04
0
JosephineRweza :
Mko.wapi
2026-07-05 18:25:26
0
paulalex :
bei Gani mbaka inafika apo
2026-06-21 16:58:14
0
Pee_47Adelina Kimaro :
kwa kweli so mwaaaaa
2026-06-03 20:27:02
0
Biwanyada :
Nicheck
2026-06-06 18:01:00
0
Annah Shabani :
hi garam yake shingapi
2026-04-09 04:25:00
0
To see more videos from user @engineer_mjenzi_tz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.