@papilearomatic: BEI ZA JUMLA ZA PERFUME AMBAZO UNACHAGUA TUNAKUTENGENEZEA MILS 100 Tsh 34000 kwanzia pc 3 MILS 50 Tsh 17000 kwanzia pc 3 MILS 30 TSH 14000 kwanzia pc 3 MILS 20 Tsh 9000 kwanzia pc 3 MILS 10 Tsh 5000 kwanzia pc 10 Bei ya package kubwa bei ni nizi Perfume Mils 50 unapata kwa Tsh LAKI NNE Utapata perfume PC 30 za Ujazo Mils 50 zikiwa na brand name yako full details zako free design sticker Kwa mtaji wa LAKI NNE TU FAIDA ya mtaji wa LAKI NNE KWA chupa 30 utapata LAKI SITA NA NUSU Ruksa kuchagua perfume unazo takaaa mteja wangu Perfume Mils 30 kwa Tsh LAKI TATU NA TISINI Utapata perfume Mils 30 PC 40 zikiwa na brand name yako full details zako free design sticker kwa mtaji wa LAKI TATU NA TISINI FAIDA YA MTAJI WA LAKI TATU NA TISINI NI LAKI SITA NA ELFU KUMI Ruksa kuchagua perfume Unazo hitaji mteja wangu Perfume Mils 20 utapata kwa mtaji wa LAKI MBILI Utapata perfume PC 26 za Ujazo Mils 20 zikiwa na brand name yako full detail zako free design sticker kwa mtaji wa LAKI MBILI FAIDA YA MTAJI WA LAKI MBILI kwa chupa 26 ni LAKI MOJA NA TISINI Ruksa kuchagua perfume unazo hitaji mteja wangu Package ya mwisho ni Mils 10 kwa MTAJI WA LAKI MOJA NA SABUNI NA TANO utapata chupa za Mils 10 PC 50 zikiwa na full brand name yako full details zako free design sticker KWA MTAJI WA LAKI MOJA NA SABUNI NA TANO FAIDA NI LAKI TATU NA ELFU USHIRINI NA TANO Mpendwa mteja wangu kama Kuna jinsi ujaelewa unaweza kupiga simu kwa maelekezo zaidi karibu sana tunapatikana GOBA BUSINESS PARK MADALE ROAD Upo mkoani tunatuma kwa UAMINIFU MKUBWA SANA Nje ya nchi pia tunatuma karibuni sana Biashara ya perfume ni nzuri na kuuza ni uhakika kwasababu Perfume zetu ni nzuri Zina ubora sana sana jaribu UTANISHUKURUU 0756426715 #perfume #perfumeticktock #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktokperfume #perfumetiktok

P A P I L E A R O M A T I C
P A P I L E A R O M A T I C
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 08 April 2026 13:28:01 GMT
16301
525
45
99

Music

Download

Comments

annaty19
annaty19 cornely :
sory mls 10 bei jumla ni 5000
2026-04-18 18:03:54
2
vivamarismoria
MODESTA RWIZA :
nikiwa mwanza nauli bei gan
2026-04-28 09:10:50
1
dignabernard
D classic store :
Mko wap
2026-04-20 08:21:39
2
razga.r2
Razga R2 :
mbeya mnawakala
2026-04-21 16:04:50
1
tyner3584
tyner🌸 :
nipo Dodoma naomba maelekezo zaidi
2026-04-30 08:56:06
1
branding906
branding :
hiko kichupa ukauze 10k?😳
2026-04-20 13:53:13
0
its.eddyther
MamaLeviDiaries💫🦋 :
me nahitaj mixer ml6 na ml10 na mtaji wa 150k napata chupa ngapi
2026-05-03 14:23:01
1
user8651041348114
adila :
samahan izo za mls 10 uuze bei
2026-04-09 04:06:34
1
dehunter0909
Shafii Nduwa :
ni Chupa tupu au na Perfume zake?
2026-04-08 15:45:53
2
cylvia45
user10487168777265 :
nahitaji Niko Arusha jee ni aina Moja ya perfume?
2026-04-21 16:10:34
1
thisis_esteve
esteve :
namba zenu
2026-05-31 17:34:38
1
mississdory
Miss E🦋 :
Me nimekutafuta WhatsApp unijibu
2026-05-23 05:59:32
1
shekh_kiuta3
Abuu mujtabaa shop center :
kila moja utakua umemuuzia bei gani kwasababu bei ulio andika kila moja 5000mala 50 sawasawa lakimbili na nusu
2026-04-14 19:06:21
1
mwanah.mbwambo
Mwaner :
bosi hicho kichupa kimojaa kinakua kimechanywa may be vanilla, strawbell
2026-05-28 12:25:30
1
halimamalimusi
halimamalimusi :
nipo Mtwara nawapataje,no ya simu tafadhali
2026-04-23 09:27:05
1
daloveane
Dalove beuty collection :
mls 10 elfu 10??how
2026-04-23 11:04:30
0
rabia.kimbamba
Rabia Kimbamba :
nawapataje sasa
2026-04-19 20:30:12
0
razga.r2
Razga R2 :
mpowapi
2026-04-21 16:04:42
1
nicprecious5
nicprecious :
Zina flavor tofauti
2026-04-19 21:15:47
0
grace4410
Grace :
nipo singida nahitaji
2026-05-17 10:23:08
0
user1562181247458
mine🥰🌹 :
Namba bas
2026-06-21 12:41:59
0
aishaselemani7737
Aisha@50 :
nahitaji kufanya hii biashara please ina cna elim nayo
2026-04-21 20:55:31
0
yasiminabraham
Yasmin bae :
kaka zina nukia vizuri
2026-04-21 09:41:00
1
betty2312
betty :
namba ya simu nataka juagiza
2026-04-20 12:25:21
0
To see more videos from user @papilearomatic, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About