@georges_kitchen: @aura_homes_arusha sehemu nzuri, na salama pakupumzikia Inapatikana Arusha mateves Kunaa apartment kuajili ya familia, couple & single… sina mazingira mazuri, Tulivu na yakuvutia sana. Karibuni sana
George's Kitchen
Region: TZ
Wednesday 08 April 2026 15:48:57 GMT
Music
Download
Comments
Acrey Tronic :
dah sikuwahi kujua kama Chipsi pia zinarostiwa
2026-04-08 16:41:27
295
Baby🌸💕 :
Chef samahani kwanini huwa unaweka nyanya ya kawaida na tomato paste?
2026-04-08 17:40:30
49
Mussa Bale :
sawa kaka unajua kupika sasa kulikua kuna ulazima sana kuvaaa kangaaa au
2026-04-08 16:48:29
51
Candy🤍🦋 :
Naomba kidogo 😩😂🤌
2026-04-09 11:58:39
80
☕️🎀 :
Sikuiz huogi mwanetu
2026-04-10 11:05:17
24
💫~Latty🥰🇳🇦 :
mbona unachafua chips 🙈😁
2026-04-09 10:56:23
65
LifEOfDaNiEL✝️ :
Hii Hapanaaa kaka. Tuendelee na somo jingine
2026-04-09 12:07:34
5
rose sabas :
samahani chef kwani huwa inaitwaje iyo chipsi ya ivyo??
2026-04-12 16:51:28
5
am_jackline :
Aisee 😒
2026-04-08 20:18:44
47
malkia salehe :
natengeneza vyeti vya kuzaliwa
2026-04-11 12:38:00
5
frankways :
bro uta oa kweli maana nakuona one in two 😅
2026-05-02 20:07:54
2
Anastazia Mhina :
toka nizaliwa cjawahi ona😧
2026-07-04 19:11:19
1
vane john🥰🥰 :
hiii ndo chips vuruga yenyewe🥰🥰
2026-04-08 19:32:19
19
@Irene_ :
Ungekua unaorodhesha recipe ungetusaidia sana
2026-04-09 08:54:24
12
😍hilda 💓Nyaluzi 🥀 :
mama kasema uniwekee kdg tuu
2026-05-10 00:29:58
5
priscamsigwa7 :
hujaoga
2026-04-11 13:37:34
2
lynet :
2026-04-11 10:06:05
1
Kevin :
chips za mchuzi
2026-04-12 13:14:39
2
ᵇᵃᵇʸᴸᵘᵘ~ᶜᵒˡˡᵉᶜᵗⁱᵒⁿ💕🌸 :
10/10
2026-04-08 19:57:08
0
Debora🎀 :
Mate yangu 😪
2026-04-08 20:13:25
4
.STINE LUX BRAIDS👸 :
chips vurugaaa🥰🥰
2026-05-15 08:38:33
1
quety ney❣️ :
leo umesahau kuoga
2026-05-10 11:21:34
1
nourah781068 :
Vurugaaaa ilo
2026-04-25 17:54:18
1
charlie@106 :
Niliwahi kula hotel flan afu ni kama inasukar sijui jina wala sujawahi kula ten mahal ni tamu sana
2026-04-24 16:58:24
3
To see more videos from user @georges_kitchen, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.