@dr.fathy.saidi: Replying to @Annie DAWA YA KUPENDWA APO KWA APO ,TUMIA UTAKUJA NISHUKURU #usa🇺🇸 #canada#burundi#france🇫🇷 #oman🇴🇲

dr.fathy.saidi +27788529989
dr.fathy.saidi +27788529989
Open In TikTok:
Region: ZA
Wednesday 08 April 2026 16:32:44 GMT
1273583
88966
2575
3210

Music

Download

Comments

agnessmtaju
Agnes mtaju :
love you
2026-08-01 09:21:18
0
jasminesalim541
Rush&oxy❤💯🥰 :
tunae muamini mungu gonga kopa apa
2026-04-09 17:17:25
1950
dr.fathy.saidi
dr.fathy.saidi +27788529989 :
ANDIKA MAJINA YAKE KWENYE KARATASI KISHA WEKA KARAFU YAKO UVICHOME
2026-04-09 06:28:30
372
motherfour
Haika :
wadada Saba wote wamemlenga kijana mmojaa lazima AFE moyo ukitatarika😅😅😂
2026-04-09 04:08:17
166
divinahmunga
Diva :
hivi karafuu moja itatoshea majina yake kweli🤔
2026-04-08 18:33:36
95
de.kellycute13
official laleth john🥰 :
ilo jina naandika kwenye karafuu au karatasi?
2026-04-08 17:37:48
72
princessshumnah
🦋princess shumnah🦋💜 :
karafuu inatoshea jina kwel??
2026-04-08 18:21:49
59
salmbushilitatu
💔💔😭😭 :
Kam una muamin mungu ndiye muweza wa yote gonga like
2026-04-11 09:26:26
179
asmaa0842
ASMAA HONEY :
jina la huyu mnyatur kwenye karafuu inatoshea
2026-04-09 06:11:31
19
jordan.ecle.tz
jordan.ecle.tz :
Nampenda na ameniacha
2026-04-09 08:36:45
18
symahkhan3
A🌹S🦋U🌹 :
karafuu n ndogo sas jina naliandikaje apo😮‍💨😮‍💨
2026-04-08 17:17:26
12
user85106103383433
⭐💞 marry💋 :
usikute huyu kungwi na yey aliwahi kuachwa 🤣🤣mi mniache nimeokoka
2026-04-09 11:17:52
5
judybeatrice2
Bettylioness🥰💓 :
tena sio kitunguu😳
2026-04-08 18:41:22
6
ziadahenri
ziadahenri :
dada nisaidiye mapenzi wangu anipi peza
2026-04-09 19:08:14
13
user8125718523367
anii Tz :
mganga mungu mengne imani baasii nimeshuhudia meng nikifunga na kusali hata kimoyo moyo na wakat mwingne nilikat tamaa ,LAKIN MUNGU ALINIONEKANIA 🥰🥰 AHSANTE GOD
2026-05-21 21:26:32
6
missnovember64
miss November :
kale kakarafu kadogo unaandikaje majina
2026-04-08 17:16:41
9
concus.babra.awou
Concus babra (betty)🥵❤️ :
Mungu nisaidie watu ni wachawi akii 🙏🙏
2026-04-10 16:52:00
5
maxhau.fc
Forever princess 3603 :
Tunae hamini jina la yesu gonga like
2026-04-11 13:51:41
11
lidia.karungi
Lidia Karungi♥️💯 :
dada na mi taka mapenzi wg ani rudilie maana hatu elewani kama zamani
2026-04-11 13:59:29
6
dayaqueen8
dayaqueen :
tunae muamini Mungu gonga kopa ❤hapa
2026-05-19 13:49:48
6
sandramanogo
Sandra :
nataka mume wangu anipende sana na asiwaze mke mwingine
2026-04-08 18:50:35
21
dborah.zamda
Déborah zamda :
mimi namupenda mume wawatuila namupenda sana nataka namianipende kama anavyomupends mukewake natokeyakongo
2026-04-08 17:38:20
11
was65813
was :
miye mina taka kazi mina kupendana sana dada
2026-04-08 17:18:21
24
user4750237178678
user4750237178678 :
nitumie
2026-04-08 17:18:59
7
user6009591777297
Neema Kansigo :
nakupenda sana wewe dada Mungu akubariki sna , Samahani me naomba unisaidie Niko na ndgu yangu Kila mtu ame mkataa hadi mama yake mzazi naomba.dawa
2026-04-08 18:26:12
6
To see more videos from user @dr.fathy.saidi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About