@promentaconsultancy: EPUKA UNAFUU WA LEO MANA UNAMAUMIVU MAKUBWA KESHO. Hakikisha unadai risiti ya manunuzi kwa kila kitu unachonunua na kila huduma unayolipia. #taxconsultant #taxcompliance #biashara #tiktoktanzania🇹🇿
hiyo 30m ni hasara kubwa sana maana yeye ana faida ya 25m baada ya discount ya 5m kutoka kwenye manunuzi ya 80m mwisho wa siku faida yake yote inachukuliwa na hasara ya 5m tena hii ni mbaya sana ahsante kwa somo
2026-04-09 17:59:16
4
Master :
asante
2026-05-31 08:19:35
0
INNOSAF DECOR :
apo inakuaje kwa wale wanao import kutoka njee ya nchii ?
2026-05-27 11:10:14
0
hamza :
Nimelipata darasa
2026-04-08 19:58:25
2
Namramba :
Habari
Asante kwa Elimu ya bure japo bando limekatwa . ofisi zwnu zipo wapiii
2026-04-09 11:05:28
1
ankojei :
Unakili ujemgewe mnara
2026-04-08 19:20:44
2
Yoabu Lazaro :
Sema TRA wanaumiza saana watu Yaani daah
2026-05-19 22:45:13
0
stan_carcomfortsolutions :
Nimepata elimu muhimu sn niliyokuwa natamani kujua. Asante sn
2026-04-09 13:14:26
3
murshidmhngeze :
nakushukuru sana. naomba nikutafute nipate msaada zaidi
2026-06-05 07:01:12
0
Jack Ma :
Nyie mpo wapi
2026-04-12 08:55:06
0
dicksonmboneke :
Dada leo nimeshiba kuanzia sasa wamenikosa thanx dada
2026-04-11 03:09:13
1
Robert Maige :
risiti zenyewe ni hizi za efd zinazofutika haraka
2026-04-08 18:14:35
1
medialink networks :
je kuna namna TIN number ikasoma jina la biashara lilosajiliwa brela?
2026-04-08 21:27:11
2
shanelarra7 :
kwa yule anayenunua mazao kwa wakulima kijijini anapataje risiti ambapo mkulima hana efd machine
2026-04-08 18:39:12
4
JAPHET MARAMBE :
kwani kama aliniuzia na kuweka tin namba yangu Kuna haja ya kutunza risiti hiyo
2026-04-09 12:36:28
1
harlinsafari :
kwahiyo kwenye faida ya 20 m mnachukua 6m wenetu me nikilipa kodi ya pango na wafanya kazi nabakiwa na nini wenetu
2026-04-09 06:47:49
1
Shaban Eng :
Naomba namba zenu ili nipigesim. nipate naitaji maelekezo Zaid
2026-04-11 04:00:48
0
KATCO :
Tanzania mfanyabiashara amekonda Kwa utitiri WA Kodi ,shida bado tunatembea na Kodi za mkoloni na pia TRA wanafanya kazi zao zakuvizia mfanyabiashara pale anapoanzisha mradi unakuta wamekaa Tu ,shida inakuja wakati WA kufunga hesabu za mwaka ndo utawaona wanakuita na kukupa hesabu ndefu na hasara juu
2026-06-14 19:50:59
0
user3100173091773 :
naweza kutumia slip ya bank ya malipo niliyofanya kwa supplier ikiwa nimepoteza rist au kwa bahati mbaya sikuchukua risit?
2026-05-14 15:25:29
0
Mr Clever :
Sasa bosi akilipa nawafangakazi anabakiwa namilion5
2026-06-16 16:25:51
0
user572253396116 :
💯💯💯💯💯💯💚
2026-04-09 18:04:03
2
VIOLETH__COSMETICS :
👏👏
2026-04-08 18:05:07
2
Eng Michael :
🥰🥰🥰
2026-04-27 21:45:43
0
To see more videos from user @promentaconsultancy, please go to the Tikwm
homepage.