@healthyfity1: Tumia huu mchanganyiko kusafisha koo na kusaidia kuondoa vipunje vya mawe ya tonsil 👇 🫗 Maji ya vuguvugu 🧴 Vinegar (siki) 🧂 Chumvi ya mawe 👉 Namna ya kutumia: Weka maji ya vuguvugu kwenye kikombe, ongeza kiasi kidogo cha vinegar na chumvi ya mawe, changanya vizuri kisha sukutua koo (gargle) kwa sekunde 20–30. Rudia mara 2–3 kwa siku, hasa asubuhi na kabla ya kulala. 🔥 Mchanganyiko huu husaidia: ✔️ Kulegeza vipunje vilivyojishikiza kwenye tonsils ✔️ Kupunguza bakteria wanaosababisha harufu mbaya ya kinywa ✔️ Kusafisha koo na kupunguza uvimbe ⚠️ Kumbuka: Hii ni njia ya kusaidia usafi wa koo. Kama vipunje vinajirudia mara kwa mara, chanzo cha tatizo kinahitaji kushughulikiwa ili viishe kabisa, sio kupungua tu. 📩 Kwa mwongozo sahihi zaidi, wasiliana na Dkt. Gea #tonsilitis #sorethroat #changamoto #foryoupage