@joackcompany: TUNAUZA NYAVU ZA PLASTIC KWAJILI YA KUWEKA KWENYE MABANDA YA KUKU • CHICKEN PLASTIC MESH • Ukubwa ni 2m x 50m Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02 @joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic @joackagrovet Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm) Ofisi zetu zipo Tegeta-Wazohill Dar es salaam na Bagamoyo. CHICKEN PLASTIC MESH hii ni aina ya nyavu ngumu iliyoundwa kwa material ya plastiki. Nyavu hii hutumika kutengenezea sehemu ya chini (floor) ya mababda ya kuku, hasa yale yanayoruhusu mbolea kudondonga chini. Mfumo huu wa ujenzi kwa kutumia nyavu hizi hupunguza hatari ya magonjwa hasa ya homa ya matumbo na koksidiosis kwa kuku, sungura, nk Nyavu hizi pia hutumika kutengenezea mabanda ya mifugo minginine kama njiwa, sungura, nk. Nyavu hizi pia hutumika kutengeneza au kuziba sehemu za madirisha na hudumu kwa muda mrefu maana hazishiki kutu. nyavuzakuku nyavuzaplastiki chickenwiremesh wavuzaplastiki ufugajikuku #fypviralシ #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktoktanzania #mwangaza💡 #fypシ Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa Simu: +255 712 25 31 02 (WhatsApp) +255 692 43 02 63 Email: [email protected] YouTube: https://youtu.be/Yd1kfmho0ac Website link: https://joackcompany.business.site/ Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7 JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO