@ibra_carter: HII SMOOTHIE SIKU 7 TU UONE MWILI WAKO UNAVYOBADILIKA Ndizi 2 Korosho Walnut Almond Peanuts butter Tende Maziwa #breakfast #smoothies #Fitness #reels #nguvuzakiume

ibracarter
ibracarter
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 09 April 2026 11:18:55 GMT
323632
5826
153
900

Music

Download

Comments

amina.khamiss8
Amina khamiss :
Maziwa mtindi hayafai ??
2026-06-18 05:18:51
1
neemalaban4
neema laban :
msisahau inaleta upwiru usitumie kama huna mpenzi😅
2026-04-18 17:29:11
19
veronicaemma45
veronicaemma45 :
ukishanenepa unafanyaje maana nimetumia cku 7 yoooo🙌🙌
2026-04-14 12:10:07
10
yourgirl16003
its me :
mimi hiki kitu kimegoma kupita kwenye koromeo jamani🥹🥹🥹
2026-04-18 19:14:18
11
pure.aura.cashews
Pure Aura Cashews :
You can get Premium Roasted Cashews nuts from us @1600 for 1kg
2026-05-14 09:32:23
1
rayon.dayon
rãyøñ dàyōñ ✅ :
hiyo ni booster sio kunenepa 🤣🤣🤣
2026-05-20 11:16:45
5
lucybosco85
Mama Shishi&shedrackboka🩷🩵 :
Ivo vingine sivijui je nikiweka ndizi,tende,korosho na hiyo peanut butter na maziwa inafaaa?? mwenye kujua anijibu
2026-04-17 17:20:06
10
neka_v.i.p
neka_v.i.p :
Power bank hiyo wakuu 🙌🏼😅
2026-06-18 13:49:06
1
rithaswalo
Ritha Swallo128 :
kwa wanaoliza ameweka ndizi, tende, korosho, almond peanut na maziwa
2026-04-18 08:19:01
11
bellafifi12
bella fifi :
what are the ingredients pls
2026-05-24 19:27:29
1
minaz114
Minah♥️ :
Oats Ni lazima nichemshe ama nitumiwe hivo
2026-05-30 09:07:18
2
dee.k9155
Dee.K :
Yani hii smoothie kiboko😁 ukitumia lazima unenepe
2026-06-18 07:38:31
2
echepshyslu
@Bujubuju :
Tende inakuwanga supermarket kweli???ni swali tu
2026-05-09 06:07:16
1
thedy2005
☘️✝️KUNYE💟💦 :
baada ya hapo unavibandika jikon au🥹 msinichambe Nina kifafa Cha kuchambwa😫🥱
2026-06-18 07:18:51
1
gloryjulius225
gloryjulius819 :
vingine ni nn nitajie majina
2026-05-13 07:07:05
1
255.campus.diaries
255 campus diaries :
unatengeneza bao ww 😅😅😅😅
2026-06-03 19:16:44
2
ms.milley
Mille__collections :
30/30
2026-06-13 12:53:10
1
user14187531421620
minah :
nielekeze
2026-06-10 18:51:54
1
lissablessed1
Lissa Blessed :
kama huna korosho lakini oats ziko?
2026-05-07 13:59:56
1
mimah.omarry
mimah omarry :
kama korosho situmii jee
2026-05-05 09:16:59
1
jojosancha418
🦋S🌹a🌷n🌹c🌷h🌹a :
ingredients ametumia gany wakuu??hapo naelewa tuh ,bananas,milk and peanut butter
2026-05-28 15:10:55
2
user7147152639010
ivana :
Maziwa mabichi au yaliyochemshwa
2026-04-18 06:20:11
4
jojosancha418
🦋S🌹a🌷n🌹c🌷h🌹a :
korosho na tende ndio nini sass
2026-05-28 15:12:00
1
lyaan_girl
lina gril :
kpnz kama situmii maziwa nifanyeje 🙏🙏
2026-04-20 12:07:43
2
To see more videos from user @ibra_carter, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About