@kisakastore: Kabati la nguo la kisasa (Storage Wardrobe Model 88130) 🧺👕 Panga nguo zako kwa ustaarabu na muonekano wa kuvutia ndani ya chumba chako. Lina nafasi kubwa ya kutundika, kuweka nguo zilizokunjwa, mashuka, taulo na maboksi. ✔️ Rahisi kufunga na kubeba ✔️ Imara na linadumu muda mrefu ✔️ Lina sehemu za kutosha kupanga kila kitu ✔️ Linafunika nguo zisipate vumbi Size: 130×45×175 cm Wasiliana nasi sasa kulipata kwa bei nzuri.0754342391

AWORD
AWORD
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 09 April 2026 11:49:02 GMT
3905
13
2
2

Music

Download

Comments

prplekid52
luciana💦 :
unauza au
2026-06-30 10:15:54
0
estherdavid050
cute etty🥰💔 :
naitaji kabat
2026-07-08 02:18:37
0
To see more videos from user @kisakastore, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About